CHADEMA ni kama jini lililofungiwa mfano ya kidumu, siku likibahatika kutoka hapatatosha

CHADEMA ni kama jini lililofungiwa mfano ya kidumu, siku likibahatika kutoka hapatatosha

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Nawaza tu kwamba kama BAVICHA bado inaishi na changamoto zote wanazokutana nazo siku wakiachiwa wajinafasi kisiasa hali itakuwaje?

Ni hero kuilambisha asali hivi hivi hapo tunapoteza kodi zetu.
 
Siasa ni kiini macho imani ya giza. Ukiwa mwanasiasa umekubali kukaa kwenye imani ya giza ndio maana hata uwe mcha Mungu vp lazima uwe gizani. Nawewe hata upende siasa vp lazima ujue unapigwa kiini macho!
 
Siku izi Naona Maria Sipesi kina Lissu kimya, Lema kimyaa, na stori ya kurudi Nchi imekufa. Wamemtelekezea mnyika kesi ya kina Mdee aangaike nayo. Chama hakijulikani Sasa Cha moto au Cha baridii. Siasa za SSH za hesabu Kali zimewamaliza wamebaki kusubiri dodo chini ya mnazi. Wakishituka 2025 iyoo
 
Back
Top Bottom