CHADEMA ni kama wapo kisiwani peke yao

CHADEMA ni kama wapo kisiwani peke yao

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
20,189
Reaction score
29,663
Kwa Sasa ni kama CHADEMA wapo pekee yao.
1. Wanapambana na polisi
2. Wanapambana na TISS
3. Wanapambana na Rais
4. Wanapambana na Vyama 13 vya upinzani.
5. Wanapambana na Viongozi Fulani wa dini.
6. Wanapambana na machawa
7. Wanapambana na bunge
8. Wanapambana na mahakama

Ukiangalia vizuri CHADEMA wapo pekee yao, na kila kundi linajaribu kuonesha umahiri wa kupambana na CHADEMA.

Ila mwisho wa siku CHADEMA huibuka kidedea.
 
9. Wanapambana na Ccm
 
Hamna kitu hapo labda kidedea Cha uoga maana chadema ni waoga si mchezo
 
Kwa Sasa ni kama CHADEMA wapo pekee yao.
1. Wanapambana na polisi
2. Wanapambana na TISS
3. Wanapambana na Rais
4. Wanapambana na Vyama 13 vya upinzani.
5. Wanapambana na Viongozi Fulani wa dini.
6. Wanapambana na machawa
7. Wanapambana na bunge
8. Wanapambana na mahakama

Ukiangalia vizuri CHADEMA wapo pekee yao, na kila kundi linajaribu kuonesha umahiri wa kupambana na CHADEMA.

Ila mwisho wa siku CHADEMA huibuka kidedea.
kujipa umuhimu usiostahili, na huku huna maono wala ushawishi wa ndani ya nchi wala nje ya nchi ni sawa na ushirikina tu...

kwamba unajidai una uwezo wa kufanya makubwa kwaajili ya wengine, hali ya kua ni wewe ni maskini tu wa kutupwa dah.

umaskini jeuri wa fikra ni utumwa mzito sana kuishi nao aise 🐒
 
Wewe nae unatafuta kiki
 
Ukielewa maana ya upinzani/mpinzani utafocus kufanya kile unachoona kinafaa na kinakupa kukubalika katika jamii.

Hata mkiwa wawili tu, mtatofautiana. Muhimu kuvumiliana lakn sio kupigana vita. Mara zote unaweza leta visasi.
 
Kwa Sasa ni kama CHADEMA wapo pekee yao.
1. Wanapambana na polisi
2. Wanapambana na TISS
3. Wanapambana na Rais
4. Wanapambana na Vyama 13 vya upinzani.
5. Wanapambana na Viongozi Fulani wa dini.
6. Wanapambana na machawa
7. Wanapambana na bunge
8. Wanapambana na mahakama

Ukiangalia vizuri CHADEMA wapo pekee yao, na kila kundi linajaribu kuonesha umahiri wa kupambana na CHADEMA.

Ila mwisho wa siku CHADEMA huibuka kidedea.
Huu ndio uzi bora wa Mwaka huu, Hongera sana.
 
Back
Top Bottom