CHADEMA ni kundi La Nzige

CHADEMA ni kundi La Nzige

hebu wadau turudi nyuma tuache kuingea kwa ushabiki,mazoea ,kejeli na jazba
tujiulize hivi chadema au chama chochote tofauti na ccm hakina uwezo wa kuongoza nchi tena kwa ufanisi?
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu na mpenda amani anayeweza kuwapa kura chadema- "Tutazichapa bungeni"-Lissu.

kuzichapa haina maana tu ya kupigana ngumi.kuna namna nyingi za kuzichapa.kwa kauli yako unataka kusema cdm na ukawa wakushinda watavuruga vp amani mi nnadhani ccm wakishindwa ndo watavuruga amani?.huwezi kuilinda qmani huku watu wakiwa na manung'uniko ya wizi wa kila siku wa rasilimali zao,ipo siku kitanuka tu
 
Uwe macho, unaposema wengine watakiona cha moto, kumbuka nawe upo kwenye kikaango, moto utakuwakia! hao CDM ni nzige wenye njaa watakula hata mashina. Muwe macho! Nzige ni balaa

Tulia wewe! Ukinyolewa unatulia! October sio mbali. Tutajua nzige ni nani na viwavi jeshi nani! CCM viwavi jeshi tu!
 
hebu wadau turudi nyuma tuache kuingea kwa ushabiki,mazoea ,kejeli na jazba
tujiulize hivi chadema au chama chochote tofauti na ccm hakina uwezo wa kuongoza nchi tena kwa ufanisi?

Hayo maswali jiulize na ujijibu mwenyewe!Ruzuku imewashinda kutumia mnataka nchi!
 
kuzichapa haina maana tu ya kupigana ngumi.kuna namna nyingi za kuzichapa.kwa kauli yako unataka kusema cdm na ukawa wakushinda watavuruga vp amani mi nnadhani ccm wakishindwa ndo watavuruga amani?.huwezi kuilinda qmani huku watu wakiwa na manung'uniko ya wizi wa kila siku wa rasilimali zao,ipo siku kitanuka tu

Mwoga tu wewe, hata siku moja wazembe kama wewe hawawezi kuleta mabadiliko!
 
Nashkuru xana kama Watanzania mmeanza kuwa wajanja sasa, Chadema wanafaa sana kuwa wapinzani na sio kuongoza dola
 
Tulia wewe! Ukinyolewa unatulia! October sio mbali. Tutajua nzige ni nani na viwavi jeshi nani! CCM viwavi jeshi tu!

Hapana, siwezi kutulia kwa maneno hayo ya kejeli yasiyo na utu ndani yake. Kumbuka ukinyoosha kidole kwa mwenzio, vinne vinakugeukia wewe. Issue hapa ni matumizi, unaona ya mwingine na ya kwako hutaki kuambiwa. Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ili uone kibanzi kwenye jicho la mwenzako. Usihalalishe ubaya kwa kusema huu ni mdogo na ule ni mkubwa. Ubaya ni ubaya. Kama leo unasema wa kwako ni mdogo na hujapewa mamlaka, ukipewa si ndiyo itakuwa balaa maana umeshazoea kuona kuwa wewe huna dhambi ila wengine wanadhambi. Be carefull usituzuge usije ukaanza kusema ohoo! sijui nini, sijui kule na hiki na kile kwa kuweweseka.
 
Wanajiita miamba ya Kaskazini, teh teh teh akiinuka kiongozi yoyote zaidi yao hawamruhusu kuishi kama unabisha muulize Zitto Kabwe alipokua Mwenyekiti wa PAC na Mbunge wa CDM katika nafasi ya juu ya utendaji kwa kuweka maslahi na mahaba niue ya chama pembeni alipomtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG na Msajili wa Vyama vya Siasa kuanza kulitilia mkazo na kuanza mara moja kufuatilia na kukagua Ruzuku kwenye vyama vya Siasa, CHADEMA walianza kumchukia ghafla kama sio Nzige hao ni nani teh teh teh wanalamba Ruzuku hao ni sheedah maana wao ni wa pili kwa kupata Ruzuku kubwa kwa upande wa vyama vya siasa! Afu wanajifanya watetezi wa wanyonge na wanachukia Rushwa. Ni NZIGE TU.

CHADEMA.

1992-1998. M/ kiti Edwin Mtei
1988-2003. M/kiti Bob Makani
2003-2008. Mkiti Freeman Mbowe
2009-2014. M/ kiti Freeman Mbowe
2014-2019. M/ kiti Freeman Mbowe

Utahangaika sana dada! hayo maneno yako hata kwenye kanga yapo!CHADEMA ni dume la mbegu safari hii mtazaa tu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hapana, siwezi kutulia kwa maneno hayo ya kejeli yasiyo na utu ndani yake. Kumbuka ukinyoosha kidole kwa mwenzio, vinne vinakugeukia wewe. Issue hapa ni matumizi, unaona ya mwingine na ya kwako hutaki kuambiwa. Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ili uone kibanzi kwenye jicho la mwenzako. Usihalalishe ubaya kwa kusema huu ni mdogo na ule ni mkubwa. Ubaya ni ubaya. Kama leo unasema wa kwako ni mdogo na hujapewa mamlaka, ukipewa si ndiyo itakuwa balaa maana umeshazoea kuona kuwa wewe huna dhambi ila wengine wanadhambi. Be carefull usituzuge usije ukaanza kusema ohoo! sijui nini, sijui kule na hiki na kile kwa kuweweseka.

Mtakuwa wapole tuuuu ikifika siku hiyo!
 
Niko tayari ku bet. Hakika nawaambia. Mwakani muda kama huu hatutakuwa na kitu kinachoitwa Chadema.

Mkuu naona umegonga kulekule kama yule mjumbe aliyetumwa kwa IBRAHIMU akamwambia mwakani ............ Sara atapata mtoto! Hao jamaa wanamuhemko unaohitaji dawa aisee na wataipata Oktoba!
 
Mkuu naona umegonga kulekule kama yule mjumbe aliyetumwa kwa IBRAHIMU akamwambia mwakani ............ Sara atapata mtoto! Hao jamaa wanamuhemko unaohitaji dawa aisee na wataipata Oktoba!

Sasa anguko lao limekaribia, sijui watasemaje wakiwa wamelala chini. Tooo much matamanio wakati mhemuko ndiyo nguzo yao. Ukifikia climax maana yake upepo hakuna, kwishnei kabisa. Pole, pole sana wasaka tonge.
 
Niko tayari ku bet. Hakika nawaambia. Mwakani muda kama huu hatutakuwa na kitu kinachoitwa Chadema.
Mwakani mbali kaka, Umoja wao huo unaojiita Ukawa mpaka sasa unapumulia mashine, maana kule wanagombea majimbo na madaraka, umegubikwa na wachumia matumbo akina Mbowe, Lipumba, Mbatia na Dr. Mapenzi a.k.a Dr. Slaa hivyo kila mmoja wao anatamani awe yeye Rais wanadhani urais ni talent kama uimbaji bongo flavor, hahaha kazi wanayo kweli mwaka huu, mpaka kufikia mwezi wa 10 umoja huo utakuwa ICU hali itayopelekea kuanguka kwao completely. R.I.P UKAWA
 
Mtakuwa wapole tuuuu ikifika siku hiyo!
And the vice versa is true, wewe usijekufuta id yako humu cku hiyo ikifika ili kuficha aibu ya Ukawa kushindwa kuchukua dola, mtaambulia majimbo baadhi lkn Urais mtausikia kwenye redio na kuuona kwenye runinga
 
Mtakuwa wapole tuuuu ikifika siku hiyo!

Yangu macho na masikio, muda unasogea na hayo ya dola yatafika, sijui kama yakigeukia kwako utakuwa tayari kuyasema hayo? Wewe kama mananchi tekeleza wajibu wako, kuhakikisha umejiandikisha na kupiga kura muda utakapowadia. Tekeleza wajibu wako sasa ili ushirki kuwa moja wa sehemu ya kujenga nchi yako kwa kupiga kura.
 
Raisi akiwa mkristo chadema itafifia kabisa kwani ilipata nguvu pale wakristo wengi walipoisapoti kwa ajili ya kupambana na serikali inayoongozwa na muislamu
 
Back
Top Bottom