Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Unajitia aibu ya bure kwa laana gani iliyokupata ?Kukaa na kuandika upupu kama huu kwa chadema hii ya Lowassa ni aibu tupu...
Unajua hata maana ya laana kweli wewe?Unajitia aibu ya bure kwa laana gani iliyokupata ?
Yaani mkuu umeridhika na hii filamu ya double impact iliyozinduliwa leo mbele ya wanahabari!Kama ilivyokuwa kwa wana wa Israel ambapo Mungu alimtumia Mussa kuwakomboa wana wa Israel kutoka utumwani nchini Misri,ndivyo vivyo hivyo Mungu amepanga kuwatumia CHADEMA na CUF kwa kiasi fulani ili kupitia vyama hivi,watanzania wakombolewe.
Hii ni moja ya sababu ya hawa wenzetu kukosa maarifa(mungu kwanyima) na matokeo yake mipango yao mingi iliyojaa "uovu" kila siku inafeli na ku-back fire na wao kuishia kuumbuka tu.
Hawa mabwana wanapaswa kutambua kuwa hawapambani na CHADEMA au CUF bali wanapambana na nguvu za Mungu mwenye mamlaka yote mbinguni na duniani.
Wanapaswa kutambua kwa muda mrefu wametenda mengi yasiyo mpendeza Mungu na Mungu sasa kàwachoka hivyo anawaumbua kila kukicha mpaka pale watakaposali amri.
Tambueni:
Tundu Lissu kupigwa risasi na ku-survive ni mpango wa Mungu.
Joshua Nassari kwenda masomoni Uingereza na kupata teknolojia iliyowaumbua wanafiki leo hii ni mpango wa Mungu aliejua kabla kuwa huu uovu ungetendeka.
Bwana fulani kuwaita kina fulani "wapumbavu" huku akiwa anarekodiwa baada ya mission kufeli ni mpango wa Mungu.
Bwana fulani kuendelea kuumbuka hadharani kwa kushindwa kutoa vyeti i mpango wa Mungu na soon kila kitu kitakuwa wazi kupitia shauri alilofungua Mayor wa CHADEMA.
Hayo ni machache tu miongoni mwa engi.
Mengi yametokea,mengi yanakuja na mengi yatatokea.
Jiulizeni ile dhana kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya msimu imeeishia wapi siku hizi?
Huwezi kuapa kwa kutumia vitabu vitakatifu kisha ukatenda kinyume alafu ukabaki salama.
Kuna uzi humu unamhusu kada wa ccm aitwaye Kalihose , ni vema ukausoma ujifunze kitu fulani kuhusu ccmUnajua hata maana ya laana kweli wewe?
Acheni kujiabisha kwa vitu vilivyo wazi ninyi manyumbuKuna uzi humu unamhusu kada wa ccm aitwaye Kalihose , ni vema ukausoma ujifunze kitu fulani kuhusu ccm
Jengeni ofisi zenu kwanza ili muaminishe Watanzania kuwa mnaweza wajengea uchumi imara..Kama ilivyokuwa kwa wana wa Israel ambapo Mungu alimtumia Mussa kuwakomboa kutoka utumwani nchini Misri,ndivyo vivyo hivyo Mungu amepanga kuwatumia CHADEMA na CUF kwa kiasi fulani, ili kupitia vyama hivi,watanzania wakombolewe.
Hii ni moja ya sababu ya hawa wenzetu kukosa maarifa(mungu kwanyima) na matokeo yake mipango yao mingi iliyojaa "uovu" kila siku inafeli na ku-back fire na wao kuishia kuumbuka tu.
Hawa mabwana wanapaswa kutambua kuwa hawapambani na CHADEMA au CUF bali wanapambana na nguvu za Mungu mwenye mamlaka yote mbinguni na duniani.
Wanapaswa kutambua kwa muda mrefu wametenda mengi yasiyo mpendeza Mungu na Mungu sasa kàwachoka hivyo anawaumbua kila kukicha mpaka pale watakaposali amri.
Tambueni:
Tundu Lissu kupigwa risasi na ku-survive ni mpango wa Mungu.
Joshua Nassari kwenda masomoni Uingereza na kupata teknolojia iliyowaumbua wanafiki leo hii ni mpango wa Mungu aliejua kabla kuwa huu uovu ungetendeka.
Bwana fulani kuwaita kina fulani "wapumbavu" huku akiwa anarekodiwa baada ya mission kufeli ni mpango wa Mungu.
Bwana fulani kuendelea kuumbuka hadharani kwa kushindwa kutoa vyeti i mpango wa Mungu na soon kila kitu kitakuwa wazi kupitia shauri alilofungua Mayor wa CHADEMA.
Hayo ni machache tu miongoni mwa mengi.
Mengi yametokea,mengi yanakuja na mengi yatatokea.
Jiulizeni ile dhana kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya msimu imeeishia wapi siku hizi?
Huwezi kuapa kwa kutumia vitabu vitakatifu kisha ukatenda kinyume alafu ukabaki salama.
Kwa mfano ni kiwanda gani mmejenga ?Ukiamka tathmini ndoto yako kwanza, au endelea kumsubiri DJ makengeza (mkaka) akukomboe kwa kuzungusha mikono, wakati sie tunaendelea kujenga viwanda taratibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lol!Kama ilivyokuwa kwa wana wa Israel ambapo Mungu alimtumia Mussa kuwakomboa kutoka utumwani nchini Misri,ndivyo vivyo hivyo Mungu amepanga kuwatumia CHADEMA na CUF kwa kiasi fulani, ili kupitia vyama hivi,watanzania wakombolewe.
Hii ni moja ya sababu ya hawa wenzetu kukosa maarifa(mungu kwanyima) na matokeo yake mipango yao mingi iliyojaa "uovu" kila siku inafeli na ku-back fire na wao kuishia kuumbuka tu.
Hawa mabwana wanapaswa kutambua kuwa hawapambani na CHADEMA au CUF bali wanapambana na nguvu za Mungu mwenye mamlaka yote mbinguni na duniani.
Wanapaswa kutambua kwa muda mrefu wametenda mengi yasiyo mpendeza Mungu na Mungu sasa kàwachoka hivyo anawaumbua kila kukicha mpaka pale watakaposali amri.
Tambueni:
Tundu Lissu kupigwa risasi na ku-survive ni mpango wa Mungu.
Joshua Nassari kwenda masomoni Uingereza na kupata teknolojia iliyowaumbua wanafiki leo hii ni mpango wa Mungu aliejua kabla kuwa huu uovu ungetendeka.
Bwana fulani kuwaita kina fulani "wapumbavu" huku akiwa anarekodiwa baada ya mission kufeli ni mpango wa Mungu.
Bwana fulani kuendelea kuumbuka hadharani kwa kushindwa kutoa vyeti i mpango wa Mungu na soon kila kitu kitakuwa wazi kupitia shauri alilofungua Mayor wa CHADEMA.
Hayo ni machache tu miongoni mwa mengi.
Mengi yametokea,mengi yanakuja na mengi yatatokea.
Jiulizeni ile dhana kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya msimu imeeishia wapi siku hizi?
Huwezi kuapa kwa kutumia vitabu vitakatifu kisha ukatenda kinyume alafu ukabaki salama.
Ohoo! Mwingine huyu anasubiri kukombolewaKwa mfano ni kiwanda gani mmejenga ?
Kazi ya serikali ni kupiga sound - Mwijage .
Kama ilivyokuwa kwa wana wa Israel ambapo Mungu alimtumia Mussa kuwakomboa kutoka utumwani nchini Misri,ndivyo vivyo hivyo Mungu amepanga kuwatumia CHADEMA na CUF kwa kiasi fulani, ili kupitia vyama hivi,watanzania wakombolewe.
Hii ni moja ya sababu ya hawa wenzetu kukosa maarifa(mungu kwanyima) na matokeo yake mipango yao mingi iliyojaa "uovu" kila siku inafeli na ku-back fire na wao kuishia kuumbuka tu.
Hawa mabwana wanapaswa kutambua kuwa hawapambani na CHADEMA au CUF bali wanapambana na nguvu za Mungu mwenye mamlaka yote mbinguni na duniani.
Wanapaswa kutambua kwa muda mrefu wametenda mengi yasiyo mpendeza Mungu na Mungu sasa kàwachoka hivyo anawaumbua kila kukicha mpaka pale watakaposali amri.
Tambueni:
Tundu Lissu kupigwa risasi na ku-survive ni mpango wa Mungu.
Joshua Nassari kwenda masomoni Uingereza na kupata teknolojia iliyowaumbua wanafiki leo hii ni mpango wa Mungu aliejua kabla kuwa huu uovu ungetendeka.
Bwana fulani kuwaita kina fulani "wapumbavu" huku akiwa anarekodiwa baada ya mission kufeli ni mpango wa Mungu.
Bwana fulani kuendelea kuumbuka hadharani kwa kushindwa kutoa vyeti i mpango wa Mungu na soon kila kitu kitakuwa wazi kupitia shauri alilofungua Mayor wa CHADEMA.
Hayo ni machache tu miongoni mwa mengi.
Mengi yametokea,mengi yanakuja na mengi yatatokea.
Jiulizeni ile dhana kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya msimu imeeishia wapi siku hizi?
Huwezi kuapa kwa kutumia vitabu vitakatifu kisha ukatenda kinyume alafu ukabaki salama.
Umeamua kumtukana LOWASA live kama Nassari na Lema walivyotoka leo?Siku zote nimeandika humu jf kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu hata mara 1 , na bado tutaendelea kuwaumbua kwa msaada wa Mungu mwenyewe.