Mkuu tupo ukurasa mmoja.........yaani inafika mahala unashindwa kuelewa kama kweli watu wanelewa kile ambacho wanakipigia kelele siku zote hapa JF............
naona hapa kuna kuangalia nyani usoni na kufikiri mawazo ya wengine ni kupopoa maembe............ukweli ni kuwa kila mstari lazima uchambuliwe na kujaribu kuona kama inaleta maana na sio kukimbilia misemo ya ku-justify udhaifu wa demokrasia Chadema ilivyoonyesha...............
nimeuliza swali.....ni kitu gani kitazuia makundi huko Chadema?....yaani wanataka kutuambia kwa kumshauri Zitto kuacha kugombea ndio kutazuia makundi?.........ukikubali sentiments of that nature.....nafikiri tutakuwa matatizo ya yale tunayohangaikia hapa..........
i know kwa Chadema...............itakuwa ni ngumu sana kwao ku-admit this blunder!...........and for sure they know it.....
- Mkuu uko sawa sawa sana, ngoja niseme zaidi ni kwamba nina heshima sana na Mwenyekiti wa Chadema, ambaye I happen to know him and his family personally na very close, good man, man of character na ni very articulate, visionary, a fearless man, a richman ambaye hana sababu kabisa ya kuhangaika na siasa za walalahoi. Lakini the man amekubali ku-sacrifice his life of richess na kulala macho, kwenye mavumbi, maporini kwa sababu ya sisi wananchi wa Tanzania ambao wengi we could careless kuhusu siasa, for this siku zote ninampa heshima ya hali ya juu sana na ni straight from the bottom of my heart and soul,
- Sio siri kwamba kama sio yeye kuichukua Chadema kama Mwenyekiti five years ago, sasa hivi sijui wangekua wapi maana Makani alikuwa ameipeleka kwenye the wrong direction ya kusubiri uchaguzi tu ndio unaisikia Chadema, Freeman gave Chadema meno ambayo haikuwa nayo never before, na I came to realize kwamba he is a threat to CCM, pale siku moja nilipoombwa na one of the big CCM niseme hadharani kwamba Freeman hakualikwa na Bush kwenye mkutano wa The Republicans Party kule US which I refused to go along, I mean it came as a big shock kwangu kwamba Freeman has became this big of a threat to the powers,
- Ninafahamu for a fact all the politics za kuchaguliwa kwake kuwa Mwenyekiti five years ago, ukweli ni kwamba he was begged na wanachama wengi sana wa Chadema, kuchukua hiyo nafasi wengi wao wakiwa tayari wame-lose hope kabisa, ninajua for a fact kwamba the man gave Chadema his everything, his life, his money, I mean Free never spare anything inapokuja Chadema, hata haya maneno ya yeye na hela za Chadema, ni pure foolishness, Free hahitaji hata senti tano ya Chadema no way ninasema no how!, it is just foolish talk,
- Lakini with all this good stuff, nimeshitushwa sana na events za recently ndani ya Chadema, ninasema hivi uimara wa nyumba ni foundation, leo tunahangaika na CCM ni kwa sababu foundation yake haikuwa sawa, sasa kwa nini Chadema the true revolutionaries wanataka kurudia tena kujenga foundation ile ile ya CCM inayovuja uozo kiuongozi? WHY? Katika uongozi wote wa Free ndani ya Chadema ambao ninauheshimu sana, kwenye hili sitamsamehe kwa sababu believe me litajirudia kila mwaka wa uchaguzi ndani ya Chadema, mpaka mwisho wa dunia.
- Makundi ndani ya vyama vya siasa ndio modern politics, hayakwepeki cha muhimu ni interest ya chama inayokwenda sawa na ya taifa, ni afadhali kukidhoofisha chama now kwa faida yake ya baadaye, lakini in the process pia ku-preserve principles za uhuru wa demokrasia na respect kwa katiba ya chama kwa vizazi vijavyo. Historia ya siasa sometimes inakwenda sambamba na ya maisha, kwamba ukweli ukipindishwa there is always a heavy price to be payed ili kuja kuurekebisha tena mbele ya safari, na siku zote binadam ni wazito sana ku-take steps za kuurekebisha kwa sababu ya a fake comfortability affordable na upindishwaji wa ukweli in the past, that si where CCM is now, nani ataurekebisha ukweli and inasikitisha sana kuona Chadema wanakuja kurudia tena exactly, the same pattern that is very sad indeed!, and I will never forgive Freeman for his role on this fugazz democracy and I mean it! Mungu anasema my people are dying kwa sababu ya kukosa hekima, hili taifa tutaendelea kuzunguka pale pale miaka nenda miaka rudi, no progress!
Mungu Ibariki Tanzania!
Respect.
Field Marshall Es!