CHADEMA ni mti wenye maembe, lazima utupiwe mawe - Mbowe

Ili kutokupelekea mpasuko ama mgawanyiko wa chama na kuharibu kazi ngumu iliyofanyika kwenye kuwafikisha hapo walipo kimafanikio,then ni lazima kuwe na hatua muhimu za kuyalinda mafanikio hayo na ama kuepuka mgawanyiko. Na ndio maana mwenyekiti huyo alisema kuwa chama siyo individual kwa kutolea mfano wa yeye ama Zitto kuwa chama is more than just them. Mwenyekiti wa CHADEMA ameeleweka na amefanya kazi nzuri kwa kujibu maswali honestly na straight forward bila woga licha ya kwamba maswali yenyewe pia yalikuwa magumu,ameonyesha uwezo wa uongozi makini na namna ya kukabiliana na hoja regardless of its nature...Akiendelea hivyo basi imani ya wananchi kwake itaongezeka.
 
 

- Mkuu Jasusi, umenifurahisha sana hapa kwamba eti demokrasia makini na ya kweli ingetumika kungetokea kukatana mapanga, haya mkuu unajua siku zote you have my respect, ila leo umenichana mbavu ndugu yangu.

FMEs!
 
Mbona hamkumwuliza mwalimu kuhusu demokrasia yake yeye ya kuwachagulia wana ccm viongozi na hata Taifa kuchaguliwa Rais?Nadhani ni muhimu pia kuelewa mchakato wa siasa za vyama ni tofauti sana na siasa za kitaifa....Na ndio maana kuna kampeni mara ya pili,yani baada ya uteuzi wa chama bado kuna kumnadi kiongozi huyo kwa Taifa,kama chama kikigawanyika uwezo wa kuongoza Taifa hautakuwepo,na hivyo kutokana na utaratibu wetu wa kisiasa pamoja na mfumo wake,siasa za chama ni kama mboni ya jicho na kuwa protected imekuwa kama norm. Katiba ni mwongozo lakini si lazima iwe perfect....Maamuzi muhimu ili kufikia malengo yaliyowekwa mara nyingi hutake over.
 
-Wakati mwingine muwe mnajaribu japo kidogo kulionea huruma hili taifa, na wananchi wake badala ya kujali vyama zaidi na individuals ndani ya hivi vyama.

- Na hasa kama kweli mnataka kua alternative ya CCM, mbele ya wananchi, ambao hata Mwenyekiti wako anakubali sio wajinga tena. Sasa ukiwaambia tunarudia yale yale ya Mwalimu na TANU, pamoja na CCM yake, exactly what are you telling them?


Repsect.

FMEs!
 
Mkuu FMES hapa nadhani ni utofauti kati ya siasa za vyama na siasa za Kitaifa ambazo zinajumuisha wananchi wote bila kujali itikadi zao,kwenye ngazi za kijamii familia siyo sawa na kijiji na handling of the matters should therefore differ,na mara nyingi hauwezi kufananisha moja kwa moja kwani kwenye familia unaweza kumla mboko mtoto wako lakini wewe kama mwenyekiti wa kijiji ama kazini wewe kama bosi huwezi kufanya hivyo,bali kuna hatua za tofauti za kuchukua. Ni mfano tu,lakini wenye mantiki...Kwamba lazima maamuzi yafanyike lakini si lazima yalinganishwe,ni levels za tofauti,siasa za ndani za chama ni tofauti na za taifa kwa ujumla na handling of the matters also differ.
 
Mkuu FMES ,siasa za ndani za chama ni tofauti na za taifa kwa ujumla na handling of the matters also differ.

- Haya mkuu nimekusikia sana. meaning kwamba NEC walikuwa right kuwashambulia wabunge na hasa Spika, maana zile nonsense zilikua zinaishia kwenye chama tu not necessary mpaka taifa, I got you mkuu!

- Kwamba hawa mabalozi wa nje tunaoambiwa wameidai CCM maelezo rasmi kuhusiana na hiyo NEC, wanajaribu tu kuingilia mambo ya ndani ya CCM, ambayo hayana anything to do na taifa, is that so mkuu?

Respect.

FMEs!
 

Mkuu FMES issue za NEC si kweli kwamba ni simply issue za kichama,zilianzia bungeni na kwenye issue za utawala wa dola na siasa hizo kupelekwa ndani ya chama ili kudhibiti yale ya dola ambayo inashikiliwa na chama hicho cha ccm,ni step nyingine ya tofauti,chanzo haswa cha issue si mambo ya chama kama ilivyo kwa CHADEMA...Ni issue ambazo maamuzi yake yanatokana na different dimensions.CHADEMA wao bado wako kwenye process ya kukijenga chama,bado hakuna issue za utawala wa dola ambazo unaweza kusema zili influence maamuzi yao moja kwa moja.
 

- I got you mkuu kwamba katika process ya kukijenga chama cha siasa ili kiwe alternative to CCM, it is okay kuweka masilahi ya individiduals na chama chenyewe mbele zaidi, kuliko katiba ya chama,

- kwa hili nimekusikia kwamba it not necessary, kwamba hii in the future inaweza kuwafanya waka-temper na masilahi ya taifa, maana thay are chama's thing tu, I got you mkuu.

Labda tuwape nafasi kwanza ya kukijenga chama, mpaka watakapokuwa tayari.

Respect and Later!

FMEs!
 


mmmhhh kwa hiyo ni kitu gani kitakacho zuia sasa kusiwe na makundi?,

yaani mmeshindwa kumuamini Ziito na kuona kuw aChama kitaanguka/kitaporomoka?

Yaani hao wazee fikra zao haziwi challenged?....tutafika kweli...

............NOOO kwa hilo CHADEMA mmechemsha......​
 

Mkuu correct me if im wrong;Wazee hao wa CHADEMA nadhani walimshauri Zitto na sidhani kama kushauri ni kuvunja katiba,kama wangemkataza asigombee ama kumlazisha kinyume na katiba kuwa asigombee then tungeweza kusema katiba imevunjwa,Mh Zitto alipewa ushauri na wazee wa chama chake na yeye akaupokea,kama angeukataa na wazee hao kuweka mizengwe kama ile ya mwalimu basi katiba hapo ingekuwa imevunjwa...Again tusahihishane kama niko wrong,niliyoyaandika hapo juu ni kwa mujibu wa habari tunazozipata kutoka kwenye vyombo mbali mbali vya habari.
 

Mkuu katiba ya chama ni kwa maslahi ya chama,wazee wale walitoa ushauri kwa maslahi ya chama,hawakumshurutisha ndugu Zitto kinyume na katiba,nadhani tutakuwa tumeelewana.
 

- Mushi hebu soma tena hayo juu maneno ya Mwenyekiti wako hayafanani kabisa na maneno yako mkuu, ni bora uache tu maana tunajaribu kuwa very fair na hizi constructive criticism,

- Usilazimishe tukaenda avenue tusiyoitaka mkuu, wewe unaona mabingwa wa hoja wametulia hapa, maana sio siri kwamba kuna mazuri na mapungufu kwenye hii maneno ya Mwenyekiti wako, anayesema amejifunza kutoka CCM namna ya kuminya demokrasia na katiba.


Respect.

FMEs!
 
Naona Mkuu FEMS anatupia mti wenye maembe mawe. Ataweza kuangua kitu? Na amejua maembe yenyewe ni yapi?

Cha msingi ni hiki: Majibu ya maswali sio aya ya kwenye Katiba. Maana nzima inapatikana kwa kuangalia majibu yote, na sio kudonoa sentensi moja hapa na pale.

Kwa mfano, Freeman kasema Chadema ni mti wenye maembe lazima utatupiwa mawe. Would you analyse that? Tunajua anachosema kijumla.

Freeman kasema vizuri sana. Hata hivyo, wenye kutaka kutupa mawe hawatakosa mbinu za kuyafanyia maneno yake hair-splitting na kupata pa kujishikiza.

FEMS; don't analyse a speech or a discussion the way you would analyse a constitution .

Kudos Freeman. You have what it takes!
 

- Mkuu Moshi, wewe ni gwiji wa hoja tena wa siku nyingi sana, lakini sio leo ndugu yangu hapa huna utetezi wa jinsi katiba ya chama inavyoweza kuminywa kwa kufuata njia zile zile za CCM, maana wapo kwenye this game kwa miaka mingi sana,

- Na kwamba demokrasia ina mipaka ndani ya Chadema, inapokuja kwenye kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa sasa huko, na kwamba haki za kikatiba za wananchama kugombea nafasi hiyo inapobidi inabidi ziachwe nyuma kwa manufaa ya chama mbele,

- Unasema kuchambua hizi hoja za Mwenyekiti wako as of their true political value to our nation, ni kupopoa maembe? Maembe gani hayo? Hakuna maembe hapa wala madafu, ila kuna ubabaishaji wa demokrasia na katiba kama ule wa CCM!

Respect.

FMEs!
 

Mkuu tupo ukurasa mmoja.........yaani inafika mahala unashindwa kuelewa kama kweli watu wanelewa kile ambacho wanakipigia kelele siku zote hapa JF............

naona hapa kuna kuangalia nyani usoni na kufikiri mawazo ya wengine ni kupopoa maembe............ukweli ni kuwa kila mstari lazima uchambuliwe na kujaribu kuona kama inaleta maana na sio kukimbilia misemo ya ku-justify udhaifu wa demokrasia Chadema ilivyoonyesha...............

nimeuliza swali.....ni kitu gani kitazuia makundi huko Chadema?....yaani wanataka kutuambia kwa kumshauri Zitto kuacha kugombea ndio kutazuia makundi?.........ukikubali sentiments of that nature.....nafikiri tutakuwa matatizo ya yale tunayohangaikia hapa..........

i know kwa Chadema...............itakuwa ni ngumu sana kwao ku-admit this blunder!...........and for sure they know it.....
 
Mkuu correct me if im wrong;Wazee hao wa CHADEMA nadhani walimshauri Zitto na sidhani kama kushauri ni kuvunja katiba,kama wangemkataza asigombee ama kumlazisha kinyume na katiba kuwa asigombee then tungeweza kusema katiba imevunjwa,

Agreed. However what did hawa Wazee wameona na kufikia kutoa huo ushauri.......je ndio zile sababu ambazo Mbowe amezijibu?....kama sababu ndio zile then they are deadly wrong........makundi kwenye chama hayazuiwi kwa kushauri kuondoa demokrasia chamani.................hapo ndipo CCM wanapopiga bao......makundi yapo.....lakini inapokuja kwenye interest za chama chao......utashangaa hata Dr Mwakyembe na Mwakipesile watakavyoshikamana...........


.........Mh Zitto alipewa ushauri na wazee wa chama chake na yeye akaupokea...........

Hapo Zitto naye ndio alichanganya madawa......Zitto alitakiwa kuwa-prove wrong hao wazee ...............hatua hiyo (ya kutoa ushauri) in a way wanamaanisha kuna makundi........i.e. kuna kundi la Zitto.....sasa ilitakiwa Zitto aendelee na ku-provee wrong hawa Wazee kuwa hata kama Zitto ana kundi ambalo lingem-support....still kundi hilo ni committed kwa chama Chadema............

Je huo ndio utakuwa msimamo wa Chadema?...........ya kwamba incumbent asipewe challenge ili kusitokee makundi?.........
 

- Mkuu uko sawa sawa sana, ngoja niseme zaidi ni kwamba nina heshima sana na Mwenyekiti wa Chadema, ambaye I happen to know him and his family personally na very close, good man, man of character na ni very articulate, visionary, a fearless man, a richman ambaye hana sababu kabisa ya kuhangaika na siasa za walalahoi. Lakini the man amekubali ku-sacrifice his life of richess na kulala macho, kwenye mavumbi, maporini kwa sababu ya sisi wananchi wa Tanzania ambao wengi we could careless kuhusu siasa, for this siku zote ninampa heshima ya hali ya juu sana na ni straight from the bottom of my heart and soul,

- Sio siri kwamba kama sio yeye kuichukua Chadema kama Mwenyekiti five years ago, sasa hivi sijui wangekua wapi maana Makani alikuwa ameipeleka kwenye the wrong direction ya kusubiri uchaguzi tu ndio unaisikia Chadema, Freeman gave Chadema meno ambayo haikuwa nayo never before, na I came to realize kwamba he is a threat to CCM, pale siku moja nilipoombwa na one of the big CCM niseme hadharani kwamba Freeman hakualikwa na Bush kwenye mkutano wa The Republicans Party kule US which I refused to go along, I mean it came as a big shock kwangu kwamba Freeman has became this big of a threat to the powers,

- Ninafahamu for a fact all the politics za kuchaguliwa kwake kuwa Mwenyekiti five years ago, ukweli ni kwamba he was begged na wanachama wengi sana wa Chadema, kuchukua hiyo nafasi wengi wao wakiwa tayari wame-lose hope kabisa, ninajua for a fact kwamba the man gave Chadema his everything, his life, his money, I mean Free never spare anything inapokuja Chadema, hata haya maneno ya yeye na hela za Chadema, ni pure foolishness, Free hahitaji hata senti tano ya Chadema no way ninasema no how!, it is just foolish talk,

- Lakini with all this good stuff, nimeshitushwa sana na events za recently ndani ya Chadema, ninasema hivi uimara wa nyumba ni foundation, leo tunahangaika na CCM ni kwa sababu foundation yake haikuwa sawa, sasa kwa nini Chadema the true revolutionaries wanataka kurudia tena kujenga foundation ile ile ya CCM inayovuja uozo kiuongozi? WHY? Katika uongozi wote wa Free ndani ya Chadema ambao ninauheshimu sana, kwenye hili sitamsamehe kwa sababu believe me litajirudia kila mwaka wa uchaguzi ndani ya Chadema, mpaka mwisho wa dunia.

- Makundi ndani ya vyama vya siasa ndio modern politics, hayakwepeki cha muhimu ni interest ya chama inayokwenda sawa na ya taifa, ni afadhali kukidhoofisha chama now kwa faida yake ya baadaye, lakini in the process pia ku-preserve principles za uhuru wa demokrasia na respect kwa katiba ya chama kwa vizazi vijavyo. Historia ya siasa sometimes inakwenda sambamba na ya maisha, kwamba ukweli ukipindishwa there is always a heavy price to be payed ili kuja kuurekebisha tena mbele ya safari, na siku zote binadam ni wazito sana ku-take steps za kuurekebisha kwa sababu ya a fake comfortability affordable na upindishwaji wa ukweli in the past, that si where CCM is now, nani ataurekebisha ukweli and inasikitisha sana kuona Chadema wanakuja kurudia tena exactly, the same pattern that is very sad indeed!, and I will never forgive Freeman for his role on this fugazz democracy and I mean it! Mungu anasema my people are dying kwa sababu ya kukosa hekima, hili taifa tutaendelea kuzunguka pale pale miaka nenda miaka rudi, no progress!

Mungu Ibariki Tanzania!

Respect.

Field Marshall Es!
 

Nakuunga mkono umeelezea vizuri, pia hata hapo nyuma JK na Lowasa walivyoenda Dodoma kugombea Mwl Nyerere aliwaambia wasubiri, na wakasubiri baadaye ndo wako kwenye madaraka.
 

Issue nadhani ni kama kutoa ushauri ni kuvunja katiba.Ni ushauri ambao unafit kwenye malengo ya chama chochote cha kisiasa...This time kuepuka mgawanyiko ndani ya chama chao....Once again correct me if im wrong.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…