Pre GE2025 CHADEMA, ni muda sahihi kumtangaza mgombea Urais?

Pre GE2025 CHADEMA, ni muda sahihi kumtangaza mgombea Urais?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unahitaji kuwa MPUMBAVU wa kiwango cha juu kabisa kuamini kuwa 2020 Lisu alipata kura nyingi kuliko alizopata Lowasa 2015.
Hata mm nimeshangaa sana,

Sioni mpinzani wa kuwapeleka CCM puta kama EL kwa hawa waliopo
 
Heshima kwenu wanajamvi.

Mgombea uRais wa CCM ni Samia Suluhu Hassan.

CHADEMA mgombea wenu nafasi ya uRais ni nani?

Kila nikichanga karata zangu mgombea anayefaa kubeba heshima ya kukiwakilisha chama ni Tundu Lissu.

Ngongo kwasasa Iringa.
Mkuu Ngongo ,kwa kweli ni muhimu mgombea wa 2025 kufahamika mapema,na kufuatia mimi kuwa ni miongoni mwa waliomshauri Lissu kugombea ile 2020,Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli! kwenye urais wa 2025
nimeshauri
  1. Kwanza nilishauri Kuelekea 2025 - Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030!
  2. Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!
  3. Kuelekea 2025 - Kama CCM Itamsimamisha Rais Samia 2025, Mnaonaje Freeman Mbowe Awe Mgombea wa Upinzani? Atapiga Ndege 3 kwa Jiwe Moja, Atavuna Wabunge Wengi ila...
P
 
Back
Top Bottom