Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Jul 24, 2024 #21 Etugrul Bey said: Kama wanajielewa waweke nguvu katika ubunge Click to expand... Kwa uchaguzi gani labda?
Etugrul Bey said: Kama wanajielewa waweke nguvu katika ubunge Click to expand... Kwa uchaguzi gani labda?
Beberu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 4,548 Reaction score 9,740 Jul 24, 2024 #22 Sir Khan said: Unahitaji kuwa MPUMBAVU wa kiwango cha juu kabisa kuamini kuwa 2020 Lisu alipata kura nyingi kuliko alizopata Lowasa 2015. Click to expand... Hata mm nimeshangaa sana, Sioni mpinzani wa kuwapeleka CCM puta kama EL kwa hawa waliopo
Sir Khan said: Unahitaji kuwa MPUMBAVU wa kiwango cha juu kabisa kuamini kuwa 2020 Lisu alipata kura nyingi kuliko alizopata Lowasa 2015. Click to expand... Hata mm nimeshangaa sana, Sioni mpinzani wa kuwapeleka CCM puta kama EL kwa hawa waliopo
K koryo1952 JF-Expert Member Joined Mar 7, 2023 Posts 948 Reaction score 1,627 Jul 24, 2024 #23 Lissu ndo atapambana na mgombea waa CCM. Mtaona kivumbi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 24, 2024 #24 Mambo yao waachie wenyewe... Cc: Mahondaw
hazard Don JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 1,203 Reaction score 1,007 Nov 29, 2024 #25 Lowasa ule mwamba ulikuwa na upepo wa hatari.
Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 53,857 Reaction score 121,995 Nov 29, 2024 #26 Ngongo said: Heshima kwenu wanajamvi. Mgombea uRais wa CCM ni Samia Suluhu Hassan. CHADEMA mgombea wenu nafasi ya uRais ni nani? Kila nikichanga karata zangu mgombea anayefaa kubeba heshima ya kukiwakilisha chama ni Tundu Lissu. Ngongo kwasasa Iringa. Click to expand... Mkuu Ngongo ,kwa kweli ni muhimu mgombea wa 2025 kufahamika mapema,na kufuatia mimi kuwa ni miongoni mwa waliomshauri Lissu kugombea ile 2020,Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli! kwenye urais wa 2025 nimeshauri Kwanza nilishauri Kuelekea 2025 - Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030! Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu! Kuelekea 2025 - Kama CCM Itamsimamisha Rais Samia 2025, Mnaonaje Freeman Mbowe Awe Mgombea wa Upinzani? Atapiga Ndege 3 kwa Jiwe Moja, Atavuna Wabunge Wengi ila... P
Ngongo said: Heshima kwenu wanajamvi. Mgombea uRais wa CCM ni Samia Suluhu Hassan. CHADEMA mgombea wenu nafasi ya uRais ni nani? Kila nikichanga karata zangu mgombea anayefaa kubeba heshima ya kukiwakilisha chama ni Tundu Lissu. Ngongo kwasasa Iringa. Click to expand... Mkuu Ngongo ,kwa kweli ni muhimu mgombea wa 2025 kufahamika mapema,na kufuatia mimi kuwa ni miongoni mwa waliomshauri Lissu kugombea ile 2020,Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli! kwenye urais wa 2025 nimeshauri Kwanza nilishauri Kuelekea 2025 - Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030! Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu! Kuelekea 2025 - Kama CCM Itamsimamisha Rais Samia 2025, Mnaonaje Freeman Mbowe Awe Mgombea wa Upinzani? Atapiga Ndege 3 kwa Jiwe Moja, Atavuna Wabunge Wengi ila... P