CHADEMA ni wazuri kwenye kukosoa mambo ya fedha na Ufisadi. Mambo ya afya tuwaachie wanasayansi, yaani Wakemia na Wanabaiolojia

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni ukweli ulio wazi kwamba kwenye mambo ya kuchanganua masuala ya fedha na ufisadi CHADEMA wako vizuri na tunawaheshimu katika hilo.

Ila kwenye eneo la Kemia, Baiolojia na famasia hawana uwezo nalo kabisa wanajaribu tu kujiingiza lakini wanafeli.

Hebu tuwaache CCM tuliwaamini na kuwapa uongozi wa nchi watuvushe katika hii sintofahamu ya Corona.

CHADEMA endeleeni kufuatilia mambo ya thamani ya fedha katika miradi mikubwa inayotekelexwa na serikali. Tunajua waasisi wa CHADEMA, Bob Makani RIP na mzee Mtei walikuwa wabobezi kwenye sekta hiyo.

Tuwaache wataalamu akina Dr Gwajima, Dkt. Mollel na hata yule Kigwangalla watupe mwongozo wa kuvuka salama chini ya Jemedari wetu Dkt. Magufuli akisaidiwa na Dkt. Hussein Mwinyi wa Zanzibar.

Kadhalika wabobezi wengine Dr Billal, Dr Shein na hata yule bingwa wa Baiolojia Prof. Kapuya.

CCM imesheheni wanasayansi tuwape nafasi.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mkuu you are flogging a dead horse. Chadema hawapo acha kutafuta visingizio ambavyo ni imaginary!
 
Hali ni shwari tuu wanapingaji kila kitu wanajaribu kuleta taharuki tuu.
 
In case hao unaosema wanabiojia na wanachemia hakuna zaidi wanacho kifanya hapa bongo,, wamegundua nn,zaidi ya kukopi ya wenzao tu,, hawana jipya kama ilivyo chama changu pendwa (CCM).

Kama wanaubuvu wameshindwa kutokomeza malaria[emoji3082]
 
Sisi tuna ma PHD wanao lalamika tu! Ukiuliza wamefanya nini hakuna walichofanya! Ni uvumi za kitoto toto tu kama watu wa vijiwe. Dawa tunazotumia zinatoka nje, chanjo za watoro na tulizonazo je zimetoka wapi? Mbona wana chanjo za ukoma? Yellow fever. Hatuwezi kuwa na jamii ya kulalamika tu bila majibu!
 
Mkemia mkuu kitu inasoma zero,yaani Tanzania hakuna Corona!😄😄😄
EY8co81XkAcuxWU.jpg
 
Ukitaka kuona kwamba chadema ni wasanii na matapeli ni kwa jinsi wanavyopokea na kutafuna ruzuku tokea November, 2020 kwa matokeo ya uchaguzi ambao hawautambui.
 
Ni ukweli ulio wazi kwamba kwenye mambo ya kuchanganua masuala ya fedha na ufisadi CHADEMA wako vizuri na tunawaheshimu katika hilo.

Ila kwenye eneo la kemia, baiolojia na famasia hawana uwezo nalo kabisa wanajaribu tu kujiingiza lakini wanafeli.

Hebu tuwaache CCM tuliwaamini na kuwapa uongozi wa nchi watuvushe katika hii sintofahamu ya Corona.

CHADEMA endeleeni kufuatilia mambo ya thamani ya fedha katika miradi mikubwa inayotekelexwa na serikali. Tunajua waasisi wa CHADEMA, Bob Makani RIP na mzee Mtei walikuwa wabobezi kwenye sekta hiyo.

Tuwaache wataalamu akina Dr Gwajima, Dkt. Mollel na hata yule Kigwangalla watupe mwongozo wa kuvuka salama chini ya Jemedari wetu Dkt. Magufuli akisaidiwa na Dkt. Hussein Mwinyi wa Zanzibar.

Kadhalika wabobezi wengine Dr Billal, Dr Shein na hata yule bingwa wa Baiolojia Prof. Kapuya.

CCM imesheheni wanasayansi tuwape nafasi.

Maendeleo hayana vyama!

Hebu kaa kimya, tuna rais mwanasayansi ambaye anapinga dawa anazoweza kupata ushahidi wa kisayansi ndani ya maabara, lakini alienda kupata kikombe cha babu kisicho na ushahidi wowote wa kimaabara! Lazima uwe mwendawazimu kusifia wanasayansi wa hivyo.
 
Wanasayansi wa bongo ni hovyo. Bora hata kumwamini Dr. Manyaunyau kuliko hawa wenye karatasi /vyeti vya sayansi.
 
Wapinzani si hawapo tena walikua wanatukwamisha nini tena sasa?
 
Ni ukweli ulio wazi kwamba kwenye mambo ya kuchanganua masuala ya fedha na ufisadi CHADEMA wako vizuri na tunawaheshimu katika hilo.

Ila kwenye eneo la kemia, baiolojia na famasia hawana uwezo nalo kabisa wanajaribu tu kujiingiza lakini wanafeli.

Hebu tuwaache CCM tuliwaamini na kuwapa uongozi wa nchi watuvushe katika hii sintofahamu ya Corona.

CHADEMA endeleeni kufuatilia mambo ya thamani ya fedha katika miradi mikubwa inayotekelexwa na serikali. Tunajua waasisi wa CHADEMA, Bob Makani RIP na mzee Mtei walikuwa wabobezi kwenye sekta hiyo.

Tuwaache wataalamu akina Dr Gwajima, Dkt. Mollel na hata yule Kigwangalla watupe mwongozo wa kuvuka salama chini ya Jemedari wetu Dkt. Magufuli akisaidiwa na Dkt. Hussein Mwinyi wa Zanzibar.

Kadhalika wabobezi wengine Dr Billal, Dr Shein na hata yule bingwa wa Baiolojia Prof. Kapuya.

CCM imesheheni wanasayansi tuwape nafasi.

Maendeleo hayana vyama!
Acha ubwege. Kwani umelazimishwa kusikia ushauri wa Chadema? Get a job
 
Back
Top Bottom