CHADEMA ni wazuri kwenye kukosoa mambo ya fedha na Ufisadi. Mambo ya afya tuwaachie wanasayansi, yaani Wakemia na Wanabaiolojia

Sasa baada ya msomi ndugu bwana Vincent mashinji kutoka pale, nani mwanasayansi aliebaki pale?
 
Hebu kaa kimya, tuna rais mwanasayansi ambaye anapinga dawa anazoweza kupata ushahidi wa kisayansi ndani ya maabara, lakini alienda kupata kikombe cha babu kisicho na ushahidi wowote wa kimaabara! Lazima uwe mwendawazimu kusifia wanasayansi wa hivyo.
Dawa gani za kigeni zinauwezo wa kupambana na covid??
 
Waulize waliochanja jinsiwanavyopukutika na makovu yao. Hivi nyinyi mnaifananisha korona na sulua nini??

Narudia tena, kuna chanjo tayari, italeta matokeo gani hilo ni suala jingine. Hata dawa za kufubaza ukimwi huwa zina side effects kwa baadhi ya watu. Na hiyo ni tabia ya kawaida kabisa kwa dawa zozote.
 
wanasayansi wanasema tuvae barakoa. Hapo vepee?!
 
Iko chache sana katika mikoa lini? Amejuaje kama ni chache wakati tangu April 29 hawapimi? Hakubali kuulizwa maswali huyo anayejiita mwendawazimu kwani ataadhirika na uongo wake.
“Sisi Tanzania Corona haijawa kubwa na haipo, iko chache sana.” - John Pombe Magufuli.
 
Narudia tena, kuna chanjo tayari, italeta matokeo gani hilo ni suala jingine. Hata dawa za kufubaza ukimwi huwa zina side effects kwa baadhi ya watu. Na hiyo ni tabia ya kawaida kabisa kwa dawa zozote.
Nanikacha halafu akawa salaamaaa??
 
Wewe ni
Wewe ni mjinga kama jiwe .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…