Uchaguzi 2020 CHADEMA nidhamu inawapungua katika kampeni zenu, mnaweza kukosa baadhi ya kura kwa kutafsiriwa kama msio na maadili

Huwezi kutenganisha chadema na uhuni.

Juzi kati nimemsikia mdee (bi kidude) akiwaambia wafuasi wake kuwa watuonesha Gwajima kuwa wao ni watoto wa kihuni.
 
Ukiona kampeni za CHADEMA siyo siri Zina zinasisimua. Naweza nisiwe hasa na sababu zinazoeleweka, lakini ukweli unabaki kwamba ni kampeni nzuri....
Lakini sasa wanasema “rais mtatajiwa”, wape break kidogo mkuu badala ya overly scrutiny.
 
Iyo ni kawaida kwa mashabiki wa vyama kipindi Cha kampeni ata Lowasa ali itwa Rais. Ukweli uliopo uchaguzi wa mwaka huu Upinzani ni kama haupo kinacho fanyika ni futuhi.
Kama haupo upinzani sasa magu siatulie tu kule chato kwenye ndege yake

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 1571866Ustaarabu huo hapo si ukawambie na hao
Tatizo letu huwa hatupendi kusahihishwa. Unachotafuta wewe ni equalize Mambo ili kuonekana mko sawa. Hayo ni makosa. Kumbuka two mistakes can't make one right. Kama ccm wanakosea, na ninyi ni lazima mkosee? Iko wapi self worth ya chadema manake kujilinganisha katika makosa ni kuwa na poor self worth.
 
No kwanza ustaarabu ni relative, uonacho ni usitaarabu kwa wenzako huitwa uzembe, vise versa is correct, je kuna uhuni wa ccm umeufungulia uzi au mnajadili kimyakimya ila ya Chadema unayafungulia nyizu.

Lengo lako unataka wote waruke kwenye level sawa ili afaidike CCM?
ENo pilipili chungu ndiyo tamu kwa walaji wa pilipili usiwapangie😂😂

Aidha si ufurahie ili ccm ipate kura za wastaarabu wake?
 
Lo, watu wangu! Bila Shaka wewe siyo serious fan wa chadema. Why are you that much defensive guys? You better be objective. You are looking rigid as I can see from a distance.🖐
 
Iyo ni kawaida kwa mashabiki wa vyama kipindi Cha kampeni ata Lowasa ali itwa Rais. Ukweli uliopo uchaguzi wa mwaka huu Upinzani ni kama haupo kinacho fanyika ni futuhi.
Haiwezi kuwa kawaida na hasa ikitokea unashughulika na wapiga kura wanaojielewa. Kuna element za kiburi kuanza kutambia kuwa na kitu ambacho bado unatuomba tukupe. Wewe unaniomba chumba Cha kupanga hata kabla cjakukubalia tayari nakusikia unasema Mimi ni mpangaji wa nyumba hii. Nitakutafsiri kuwa mtu mtata.( Complex) na asiyejua maana ya kuomba kupewa kitu. Bado wanaomba kura, let them be humble.
 
Magufuli watu hawamtaki, hata hapa Geita kuna watu Wapo ndani Kwa kumkataa magu! Polisi wanawaonea wananchi bila sababu!
 
Iyo ni kawaida kwa mashabiki wa vyama kipindi Cha kampeni ata Lowasa ali itwa Rais. Ukweli uliopo uchaguzi wa mwaka huu Upinzani ni kama haupo kinacho fanyika ni futuhi.
Na Mrema aliitwa raisi....wote walioitwa raisi kabla ya kuapishwa hawajawahi kuwa maraisi
 
Ukweli ni kwamba, JPM anasubiri tu kuapishwa, hawa wengine ni wasindikizaji tu.
Huku mitaani watu wengi hata wale wa upinzani kwa chini chini wanasema kwa upande wa Rais bila kujali itikadi au ushabiki, watamchagua JPM.
 
Lo, watu wangu! Bila Shaka wewe siyo serious fan wa chadema. Why are you that much defensive guys? You better be objective. You are looking rigid as I can see from a distance.🖐
Obviously I’m not a follower of any party though I like fair grounds of election.

I presume you’re CCM member, as the matter of fact you tend to criticise whatever [SUP]CHADEMA[/SUP] on ground that they are going to lose some voter who are civilized.

If that is the case you have to be happy because CCM operates in the way that attracts civilized voters.

You are a witness of all technicalities made by CCM through NEC as well as Police, for those people who like justice to be dispensed would they be happy?

No, the right of voters has been denied by the leaders specially from Ruling party that why people go to listen to CHADEMA’s candidate, to hear words of courage and consolation from the victimized fellow.
 
Na Mrema aliitwa raisi....wote walioitwa raisi kabla ya kuapishwa hawajawahi kuwa maraisi
Unamaana hata Hussein Mwinyi ataliwa kichwa huko zanziberi maana anaitwa Rai s mteule😳
 
Huwezi kutenganisha chadema na uhuni.

Juzi kati nimemsikia mdee (bi kidude) akiwaambia wafuasi wake kuwa watuonesha Gwajima kuwa wao ni watoto wa kihuni.
Nakuona umejiunga September 8, 2020, with only one purpose of discrediting your opponents

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Waliostarabika wanasikiliza sera nasio mziki,,huwezi kushawishi pasipo kumzungumzia mpinzani wako, wananchi wanataka kusikia umefanya Nini ulipopewa ridhaa yakuingoza nchi naunataka kutufikisha wapi,nayule nae aseme kwanini anataka tumpe ridhaa yakuongoza nchi je,amegundua huyu wasasa hafai? lazima aseme amekosea wapi naye atafanya Nini jukwaa la uchaguzi nilakuamua hatma yamaisha yawatu kwakipindi chamiaka Mitano kwa mujibu wa Katiba sio jukwaa la uongo sio jukwaa lakuweka wasanii wamziki au vichekesho,watu wanataka kujua ajira zitapatikana vipi,afya,elimu Bora kilimo chenye tija nk nk,,tujadili ukweli uchama hauna maana kwasasa,kupata huduma zakijamii hatuendi nakadi za vyama vyetu, tusikirize sera Bora Kisha tufanye maamuzi ,,,
 
mbona magu ni rais na hapo hapo ni mgombea wa urais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…