CHADEMA nitafuteni niwatengenezee Taasisi ya kuheshimika itakayotengeneza pull factors kwa wanachama wapya

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,524
Reaction score
4,477
Ili Taasisi yeyote itengenezeka na kuwa Imara lazima uwazi kwenye suala la pesa liwe wazi kabisa kitu ambacho CHADEMA wameshindwa yafuatayo ni matatizo yaliyomo ndani ya CHADEMA lkn kiini cha haya matatizo ni kufichwa kwa nyaraka muhimu juu ya mapato na matumizi ya Chama.

CHADEMA hailipi mishahara ya viongozi na wafanyakazi wake na ndio maana wenyeviti wengi wa Kanda ni wabunge kwa hiyo wanajitolea tu kufanya kazi zao.

Mbowe kugoma kutoa nyaraka muhimu ya matumizi ya posho walizokatwa wabunge wa Chadema.nk

Nini kifanyike?
Mbowe Chama kimemshinda inabidi apatikane mtu atakisafisha Chama bila huruma bila kuangalia cheo wala sura ya mtu badala yakukabidhi bucha kwa Fisi.
 
Simba haiwezi kuishauri Yanga hata siku moja!
Siku zote hutakiwi kusikiliza ushauri kutoka kwa adui yako!
 
CHADEMA ni taasisi dhaifu sana! Haina Structures imara ! Haina mpango mkakati wa kuimarisha uchumi wa Chama! Hivyo Viongozi wake wasio Wabunge ni watu dhaifu kwenye njaa,wanaharakati wasiokuwa na uhakika wa maisha yao! Viongozi wa model hiyo hawawezi kuitoa CCM madarakani hata siku moja!
 
Ili Taasisi yeyote itengenezeka na kuwa Imara lazima uwazi kwenye suala la pesa liwe wazi kabisa kitu ambacho CHADEMA wameshindwa yafuatayo ni matatizo yaliyomo ndani ya CHADEMA lkn kiini cha haya matatizo ni kufichwa kwa nyaraka muhimu juu ya mapato na matumizi ya Chama.

CHADEMA hailipi mishahara ya viongozi na wafanyakazi wake na ndio maana wenyeviti wengi wa Kanda ni wabunge kwa hiyo wanajitolea tu kufanya kazi zao.

Mbowe kugoma kutoa nyaraka muhimu ya matumizi ya posho walizokatwa wabunge wa Chadema.nk

Nini kifanyike?
Mbowe Chama kimemshinda inabidi apatikane mtu atakisafisha Chama bila huruma bila kuangalia cheo wala sura ya mtu badala yakukabidhi bucha kwa Fisi.

Ukishataja mambo ya Hela, jua umeshindwa hapo.
 
Wewe nilikaa mkao wa kula nikajuwa nitakuwa na la kujifunza kumbe 0, nakufananisha na kawe alumn wakati wa kuelekea uchaguzi wa m\kiti chadema taifa alianzisha nyuzi nyingi humu za kinafiki sijuwi yupo wapi sasa?
 
Back
Top Bottom