CHADEMA operesheni zenu ni maigizo ya mafanikio ni Sangara tu

Hujui Siasa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Operesheni hii inasambaza corona tu. Ipigwe marufuku. Huu si wakati wa kampeni wa uchaguzi mkuu ambao ndiyo wakati pekee unaoruhusiwa kikatiba wa kuisema vibaya serikali iliyoko madarakani ili wananchi wainyime kura. Wakati huu ukifanya hivyo ni kosa la jinai linaloitwa uchochezi kwa mjibu wa sheria zetu na unapaswa kukamatwa.
 
Sijaumbwa na dharau, lakini Sijui kwanini nikisoma post zako najikuta ninadharau tu?
 
Mimi nawaacha kwanini msitulie nanyi hamuingizi timu 2025!
Ulishafurahi kuwa timu haiingii 2025! Bila tume huru haiingii, jee mmejipanga kuwa tume usiwepo?
Unayajua madhara ya chama kikuu cha upinzani kutoshiriki uchaguzi wewe bwana kipara?
 
Reactions: BAK
Ulishafurahi kuwa timu haiingii 2025! Bila tume huru haiingii, jee mmejipanga kuwa tume usiwepo?
Unayajua madhara ya chama kikuu cha upinzani kutoshiriki uchaguzi wewe bwana kipara?
Chama kikuu cha upinzani ni Act wazalendo kina makamu wa rais na kina wabunge!
 
Kipara cha zamani na UPUUZI wake! πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…