Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Sawa tulia basi mbona unatema tema mate kama binti mjamzitoCHADEMA ni wanaharaki tu hawana lolote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tulia basi mbona unatema tema mate kama binti mjamzitoCHADEMA ni wanaharaki tu hawana lolote.
Hujui Siasa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukweli unauma lakini ni lazima muelezwe ili mjitathimini na muda mnaoupoteza katika hiyo misafara yenu ya kufuja pesa za wananchi maskini mnaowalazimisha kuwachangia mafuta.
Lazima mkubali operesheni yenu iliyokuwa na malengo na ikafanikiwa na ikavuna wanachama ni moja tu ile operesheni sangara,
iliyoratibiwa na mtu makini katika uongozi anayejua kuweka mikakati kujenga hoja na kustawisha chama, aliyekuwa hajali ruzuku kuendesha maisha yake.
Alikubali kujitoa yeye na mkewe na aliwapa nafasi kila kiongozi kutoa mchango wake; alijenga nidhamu na kuzuia unafiki na umangimeza.
Makamanda hizi operesheni nyingine ni za kupasua ngiri maji tu na kuuza sura msione aibu kurudi na kupata ushauri Dkt. Slaa bado yu hai atawapa ushauri bure.
Leo hii kazi ni kupiga picha na kuweka maelezo tunakula bata kidigitali. Ina maana hizo pesa wanazochanga watu wa kipato cha chini wenye mapenzi yao ndio za kula bata badala ya kuwasaidia mafuta.
Makamanda msipoteze muda kwa operesheni; wananchi wa sasa ni waelewa sana wanajua giza na mwanga.
Kama mmewafukuza mbona hamjibu rufaa zao.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Sijaumbwa na dharau, lakini Sijui kwanini nikisoma post zako najikuta ninadharau tu?Ukweli unauma lakini ni lazima muelezwe ili mjitathimini na muda mnaoupoteza katika hiyo misafara yenu ya kufuja pesa za wananchi maskini mnaowalazimisha kuwachangia mafuta.
Lazima mkubali operesheni yenu iliyokuwa na malengo na ikafanikiwa na ikavuna wanachama ni moja tu ile operesheni sangara,
iliyoratibiwa na mtu makini katika uongozi anayejua kuweka mikakati kujenga hoja na kustawisha chama, aliyekuwa hajali ruzuku kuendesha maisha yake.
Alikubali kujitoa yeye na mkewe na aliwapa nafasi kila kiongozi kutoa mchango wake; alijenga nidhamu na kuzuia unafiki na umangimeza.
Makamanda hizi operesheni nyingine ni za kupasua ngiri maji tu na kuuza sura msione aibu kurudi na kupata ushauri Dkt. Slaa bado yu hai atawapa ushauri bure.
Leo hii kazi ni kupiga picha na kuweka maelezo tunakula bata kidigitali. Ina maana hizo pesa wanazochanga watu wa kipato cha chini wenye mapenzi yao ndio za kula bata badala ya kuwasaidia mafuta.
Makamanda msipoteze muda kwa operesheni; wananchi wa sasa ni waelewa sana wanajua giza na mwanga.
Kama mmewafukuza mbona hamjibu rufaa zao.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Ulishafurahi kuwa timu haiingii 2025! Bila tume huru haiingii, jee mmejipanga kuwa tume usiwepo?Mimi nawaacha kwanini msitulie nanyi hamuingizi timu 2025!
Chama kikuu cha upinzani ni Act wazalendo kina makamu wa rais na kina wabunge!Ulishafurahi kuwa timu haiingii 2025! Bila tume huru haiingii, jee mmejipanga kuwa tume usiwepo?
Unayajua madhara ya chama kikuu cha upinzani kutoshiriki uchaguzi wewe bwana kipara?
Sababu una minyoo kwa kushindia migagi!Sijaumbwa na dharau, lakini Sijui kwanini nikisoma post zako najikuta ninadharau tu?
Migagi inatibu minyooSababu una minyoo kwa kushindia migagi!