Huko Uviviwavi hupati vijana mashujaa kama hawa.......ulanzi wa leo hapa kwa Mama Roza ni ile namba mojaRetired atanuna 🐼
Simuoni kama Mbowe yupo tayari kuachia madaraka.BAVICHA TUPO IMARA!!! TUNAKWENDA KUWALETEA ZAWADI YA MATUMAINI 2025 WATANZANIA WOTE WAPENDA HAKI NA DEMOKRASIA !!!!!
TUPO....
TuliaSimuoni kama Mbowe yupo tayari kuachia madaraka.
Mtafanya nini hili likitokea?
Huyu Mahinyila anahangaika sana, mara uenyekiti wa kijiji, mara mwenyekiti wa kanda, sasa hivi Bavicha, huyu atakuwa na element za uroho wa madarakaKijana Shija Shibeshi, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, ametangaza kujiondoa kwenye kinyang'anyiro hicho.
Shija ameomba wafuasi wake kumuunga mkono Wakili Deogratias Mahinyila, ambaye ameeleza kumuunga mkono Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
View attachment 3199471
Simuoni kama Mbowe yupo tayari kuachia madaraka.
Mtafanya nini hili likitokea?
Kiukweli simuoni Mbowe kama yupo tayari kutoka!
Vijana wengi Wana Imani na lissuKijana Shija Shibeshi, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, ametangaza kujiondoa kwenye kinyang'anyiro hicho.
Shija ameomba wafuasi wake kumuunga mkono Wakili Deogratias Mahinyila, ambaye ameeleza kumuunga mkono Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
View attachment 3199471
Atakosa yoteKaonesha ukomavu wa kisiasa
Kiukweli simuoni Mbowe kama yupo tayari kutoka!
Nikisoma yale aliyoyaandika Chacha Wangwe kuhusu Mbowe kipindi kile anagombea nafasi ya uwenyekiti, Mbowe anafaidika sana na hiyo nafasi na mpigaji mmoja mkubwa sana.
Kuna pesa walipatiwa na Chama cha Republican na Conservative cha UK, Mbowe alipiga pesa ya maana. Pesa ambazo zilitakiwa zinunuliwe pikipiki na basikeli kwa wajumbe wa ndani huko mikoani haikununuliwa pikipiki wala baiskeli hata moja.
Walipoambiwa wapeleke risiti Mbowe alipeleka risiti fake mpaka wazungu walichachamaa.
Hiyo nafasi inamnufaisha sana Mbowe kimaisha. Anapiga sana hela!
Usimuone Mbowe anachachamaa vile, ule ni mkate wake, ni moja ya mradi unaomuingizia hela nyingi sana na za uhakika.