Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimebubujikwa machozi ya furaha
Wajumbe wanalalamika hata bendera wananunua.Tunasubiri yeye na wapambe wake wakwibe uchaguzi ila huyu, uchaguzi huru wa haki na kuaminika hatoboi.
Ngoja tuone, anachagua kutoka kwa kura au kwa kilipumbaz.
Anajua akitoka tu, mengi yatajulikana.
Wajumbe wanalalamika hata bendera wananunua.
Ndani ya miaka 5 anatuma bendera 1 sasa sijui ni uwiano wa namna gani!
Afadhali bendera, basi hata katiba? Katiba nayo wananunua!
Wakiulizwa jawabu lao changia Chama.
Wajumbe wanauliza hizo ruzuku zinafanya kazi gani kama kila kitu hata kidogo tunajipambania wenyewe?
Mbowe anawajibu kunja ngumiiiii! Kohoa kidogo! Pipooooz! Pawaaa!
ila mwamba hatoki! Nafikiri itatumiwa turufu ya uchaguzi kuahirishwa na kusogezwa mbele.
Lazima yatatengenezwa mazingira ili kutokea vurugu siku ya uchaguzi na kwa kunusuru uchaguzi watasema umeihirishwa mpaka mbeleni chama kitakapotoa mwongozo zaidi.
Nimebubujikwa machozi ya furaha
Una report kutoka Iringa au Mbeya mkuu? Hili la ulanzi hili, anywayHuko Uviviwavi hupati vijana mashujaa kama hawa.......ulanzi wa leo hapa kwa Mama Roza ni ile namba moja