CHADEMA pelekeni taarifa kwa Spika mubashara, mmeilinda vyema heshima ya chama chenu

CHADEMA pelekeni taarifa kwa Spika mubashara, mmeilinda vyema heshima ya chama chenu

MKUU HIVI BAADA YA MAAMUZI HAYA HAWA COVID19 NI HATUA GANI INAFUATA KUWAFANYA WASIWE WABUNGE NA WASIHUDHURIE MAZIMA?
Hapo ni barua rasmi kwa spika ya kutowatambua kama wanachama wa CHADEMA tena.

Hapo ni juu ya spika kuwatumia watu wasiyo na chama kama hao covid 19.

Lkn kwa mujibu wa masharti ya kuwa mbunge ni lazima uwe ni mwanachama cha siasa.
 
kwahiyo kilichowafanya waendelee kuwa wabunge ni taratibu za kuwafukuza zilikuwa hazijakamilika. now bunge sasa linasubiri barua kutoka cdm kwenda kwa spika. na je covid1 wakienda mahakamni kupinga kufukuzwa itakuwaje? mana nasikia kuna fununu wameshawishiwa na kina Pascal Mayalla kwamba wao bado ni wabunge halali na maamuzi ya kufukuzwa ni yaKIHUNI kwa kauli zao na pia pascal anaunga mkono kuwa ni uhuni umefanywa na CDM
 
Mara pa tundu lisu anaingia bungeni,atatuenyesha.
 
Hapo ni barua rasmi kwa spika ya kutowatambua kama wanachama wa CHADEMA tena.

Hapo ni juu ya spika kuwatumia watu wasiyo na chama kama hao covid 19.

Lkn kwa mujibu wa masharti ya kuwa mbunge ni lazima uwe ni mwanachama cha siasa.
asante kamanda
1652358329057.png
 
Unatuambia Sisi ili iweje , et Tangu miaka ya 80 nilipomaliza chuo [emoji3]
Sasa unataka avae suruali kabla ya boksa ndugu yangu?[emoji3]

Ametuepushia swali la namna na lini alijiunga Chamani
 
Asante mkuu. Mimi siyo mshabiki wa chadema au CCM. ila napenda siasa za ushindani wa mawazo mbadala. ukiangalia siasa zetu za CCM zimetudumaza kimawazo na hata kimaendeleo kwa sababu hakuna uwajibikaji.
Tupo wengi. Ila mimi naamini adui number one wa taifa hili ni CCM, period. Baada ya kukosa ushawishi, CCM imebakiwa mtaji moja tu...kung'ang'ania madaraka kwa hila.
Ukiwa na upinzani imara (siyo lazima uwe madarakani) inasaidia kuwa na mawazo mHauko peke yako ndugu yangu. Tupo wengi ambao pamoja na kutokuwabadala yenye tija kwa taifa.
Adui number one wa CCM ni upinzani imara, period. Kwa hofu ya kutolewa madarakani, CCM inahakikisha inamiliki na kuhatamia taifa na mihimili yake yote mitatu ya dola.

Adui number two wa CCM ni Katiba mpya. Katiba haitakiwi itakayolinda uhuru, haki na usawa ndani ya nchi hii kwani hata haki hizi za msingi zadaiwa ni kwa hisani tu ya CCM!
 
Back
Top Bottom