Hapo ni barua rasmi kwa spika ya kutowatambua kama wanachama wa CHADEMA tena.MKUU HIVI BAADA YA MAAMUZI HAYA HAWA COVID19 NI HATUA GANI INAFUATA KUWAFANYA WASIWE WABUNGE NA WASIHUDHURIE MAZIMA?
kwahiyo kilichowafanya waendelee kuwa wabunge ni taratibu za kuwafukuza zilikuwa hazijakamilika. now bunge sasa linasubiri barua kutoka cdm kwenda kwa spika. na je covid1 wakienda mahakamni kupinga kufukuzwa itakuwaje? mana nasikia kuna fununu wameshawishiwa na kina Pascal Mayalla kwamba wao bado ni wabunge halali na maamuzi ya kufukuzwa ni yaKIHUNI kwa kauli zao na pia pascal anaunga mkono kuwa ni uhuni umefanywa na CDMHapo ni barua rasmi kwa spika ya kutowatambua kama wanachama wa CHADEMA tena.
Hapo ni juu ya spika kuwatumia watu wasiyo na chama kama hao covid 19.
Lkn kwa mujibu wa masharti ya kuwa mbunge ni lazima uwe ni mwanachama cha siasa.
asante kamandaHapo ni barua rasmi kwa spika ya kutowatambua kama wanachama wa CHADEMA tena.
Hapo ni juu ya spika kuwatumia watu wasiyo na chama kama hao covid 19.
Lkn kwa mujibu wa masharti ya kuwa mbunge ni lazima uwe ni mwanachama cha siasa.
Ni uamuzi stahiki uliochelewa, Covid 19 ni wakaidi na huenda wakaenda mahakamani lakini serikani ya jana si ya leo.
Hii nayo kaliasante kamanda
View attachment 2221701
Brother umasikini ni mbaya sana ishia hapohapoNyie mliokuwa hamjasoma mafanikio yanawauma sijui kwa nini. Hapo anajitambulisha tu
Sasa unataka avae suruali kabla ya boksa ndugu yangu?[emoji3]Unatuambia Sisi ili iweje , et Tangu miaka ya 80 nilipomaliza chuo [emoji3]
Irushwe runingani kabisa? Si mchezoNa iwe mubashara kabisa.
Yani live kila mtu aone
Tupo wengi. Ila mimi naamini adui number one wa taifa hili ni CCM, period. Baada ya kukosa ushawishi, CCM imebakiwa mtaji moja tu...kung'ang'ania madaraka kwa hila.Asante mkuu. Mimi siyo mshabiki wa chadema au CCM. ila napenda siasa za ushindani wa mawazo mbadala. ukiangalia siasa zetu za CCM zimetudumaza kimawazo na hata kimaendeleo kwa sababu hakuna uwajibikaji.
Adui number one wa CCM ni upinzani imara, period. Kwa hofu ya kutolewa madarakani, CCM inahakikisha inamiliki na kuhatamia taifa na mihimili yake yote mitatu ya dola.Ukiwa na upinzani imara (siyo lazima uwe madarakani) inasaidia kuwa na mawazo mHauko peke yako ndugu yangu. Tupo wengi ambao pamoja na kutokuwabadala yenye tija kwa taifa.