CHADEMA pigeni kelele mchoke, sisi na vyama vingine vya upinzani tumebinafsisha bandari kwa maslahi yetu na vizazi vyetu

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
CHADEMA endeleeni kupambana na DP World huku wenzenu wakiungana kukamilisha taratibu za kukabidhi bandari zetu.

Wameungana kwa nguvu moja kwamba yanayofanyika yana tija kwa vizazi vyao, ninyi hoja yenu ni maslahi kwa wanyonge.

Je, wanyonge na wao nani atapewa kipaombele? Ofcos familia zao zitapewa nafuu ya maisha kwa malipo ya familia za wanyonge.
 
Chadema na CCM hawana tofauti,wote wanapigania matumbo sio wanyonge,kulijua hili waza nje ya box,wanyonge siku wakiamua kujipigania ndio utakuwa mwisho wa dhulma
 
Rungwe na Mbatia vyama vyao vipo pamoja na CDM na CCM wazalendo.

Hilo ni Jeshi kubwa.
 
Ujumbe wako nimeuelewa vyema!!
 
Chadema na CCM hawana tofauti,wote wanapigania matumbo sio wanyonge,kulijua hili waza nje ya box,wanyonge siku wakiamua kujipigania ndio utakuwa mwisho wa dhulma
Punguza unafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…