CHADEMA pigeni Kura za Wazi kama Bungeni Ili Chama kikifa tuwajengee Mnara waliokiua, Wajumbe 1200 ni Muafaka kabisa Kwa Kura za Wazi!

CHADEMA pigeni Kura za Wazi kama Bungeni Ili Chama kikifa tuwajengee Mnara waliokiua, Wajumbe 1200 ni Muafaka kabisa Kwa Kura za Wazi!

Kama wajunge wako 1200, siku ya uchaguzi wajumbe wote waingie kwenye ukumbi kila mmoja kwenye kiti chake kikiwa na kalamu na karatasi.
Wagombea wakae meza kuu huku waangalizi wao wakikaa pembeni. Kura zipigwe kwa kila mjumbe kuandika mgombea anayemtaka kisha mjumbe apeleke kwenye boksi la mgombea ambalo litakuwa meza kuu mbele ya mgombea.
Baada ya kura zote kupigwa na kuwekwa kwenye sanduku ambalo kila mgombea analidhibiti mwenyewe, litaanza zoezi la kuhesabu kura zilizomo kwenye boksi la kila mgombea.
Kwa kufanya hivyo hakuna kura zitakazoibiwa wala kuharibika au kuzidi.... Ni hivyo tu yaani!
 
Wenye jina Moja la mgombea mfukoni hao🤣🤣🤣🤣🤣

Hadi wanaona aibu😏
 

Attachments

  • VID-20250113-WA0022.mp4
    13.3 MB
Kwa ushindani uliopo Chadema na Rushwa inayopenyezwa ni vema ikapigwa Kura ya Wazi

Hii itasaidia sana mbele ya safari endapo Chama kitaimarika zaidi basi 2030 Mbowe tumpe Mitano Tena

Ahsanteni sana 😂😄
Kura ni kweupeee na camera zote ili Ukipigwa Umepigwa tu.
Hongera CDM kuongoza uwazi wa ki demokrasia nchini nyie ni mfano wengine wafuate.
 
CCM ishakufaga kitambo sana kijana. Mwamba ndiyo habari ya town.

Vip utakuwa wakala wa Timu maroporopo
Sisi tumeshatoa kishika uchumba tsh million 250

October hatutakuwa na Maneno mengi zaidi ya kumchukua Mwali wetu 😂
 
Back
Top Bottom