Uchaguzi 2020 CHADEMA pumzi imekata, Bernard Membe asakwa

Bernard Membe na jamaa wawili watatu majina kapuni) wote wapo huko kwa kazi maalum.

Mmojawapo yeye kazi yake ni feedback tu, huku payroll yafanya kazi yake.

Unafahamu aliye nyuma ya ACT wazalendo tangu kuanzishwa kwake?

Ukipata haya madini utashangaa sana kabla ya kushangazwa na Polepole.

Polepople kasema tusubiri CCM kushangaza umma wa watanzania.
 
Una uhakika na haya? Ama maneno maneno tu?
 
Mwandishi mwenye sensitive information kutoka chama kikuu cha upinzani hawezi andika neno "mugombea" zaidi ya once.
Wewe utakuwa muuza vitunguu umeamua kupumzisha akili ambazo nazo hazina kazi ya kuzichosha.

Hizo akili zenyewe za kupumzisha anazo!!
 

Maalufu ni nini?
 
Najua umeleta post lakini unafanya research kawambie walokuagiza kuwa maisha kitaa magumu na watu wapo tayari kuchagua hata kitu kuliko ccm sasa lisu ni zaid ya vitu ndiomaana popote anapopita panafulika kabla hata kampeni kuanza, linganisha na sehem anazopita mhe jpm na lisu utapata majibu,
Pia kawambie kuna watumish wanalaramika maslah yao japo wanaonekana wanaunga ccm lakin ukweli hata nusu yao wanalaramika masrai na wataifanya ccm kama wajumbe walivokifanya wambie ukweri
 
Atakuwa ana muwaza masaa yote lisu, naona lisu ni kama maji asipomnywa atamuoga na kumpikia pia
 
Mwandishi mwenye sensitive information kutoka chama kikuu cha upinzani hawezi andika neno "mugombea" zaidi ya once.
Wewe utakuwa muuza vitunguu umeamua kupumzisha akili ambazo nazo hazina kazi ya kuzichosha.
Atakuwa kafell darasa la saba huyo afu kama sio muha basi ni msukuma kanunua smart kitochi hapo yupo juu ya jiwe milimani ndo katuma hiyo msg
 
Hivi ukiwa CCM ni lazima uwe mpumbavu?Lissu hajaanza kampeni kinachoendelea watu wanataka kumsalimu tu...Ilani ya Chadema ikianza kuunguruma CCM watajificha
 
Huko walishazoea sera ni za mgombea na sio za chama.CCM ilishajifia siku nyingi tu ni vile watanzania wengi hawajui nyakati. ndio maana kila siku mzee Mkapa alikuwa anamkosoa JPM anaposema serikali ya Magufuli badala ya serikali ya CCM lakini watu hawakumuelewa yule mzee masikini. ukitaka kujua CCM imeshakufa subiri huyu bwana amalize muda wake wa uenyekiti ndio utajua......hapo CCM inaonekana bado ipo kwa mabavu ya JPM na vyombo vyake lakini kwa wanachama tayari ni chama mfu.
 
Labda nchi kama nchi TL hajatufanyia kitu "tangible"
 
Umeona sasa umeandika kisomi bila mihemko umetoa mawazo yako bila machuki ni wazi ww ni supporter wa CCM ila unajielewa hata tusioisapport kiivyo umetupinga huku ukiheshimu mitizamo yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…