William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Napenda hizi ishu zisitupeleke kubaya au kugombana. Mnahofu nyingi juu ya kuibiwa Kura kwa namna tofauti kupitia uzoefu wa chaguzi ndogo za marudio. Ipo haja ya kurasimisha hofu hizo kwa kupitia taarifa za itelejensia mlizonazo.
1. Msibitishiwe mawakala kutotolewa kwa nguvu vituoni na kuruhusiwa kuingia vituoni kwa wakati.
2. Fomu na barua zao za utambulisho kutolewa kwa wakati ili wasije kujnyimwa kwa makusudi.
3. Kutokuwepo Uhuru wa wakurugenzi kwenye kufanya maamuzi kupitia kauli zilizokwisha wahi kutolewa nyuma.
4. Kuwepo mpago wa kuwepo fomu pungufu hivyo matokeo kutokubandikwa kituoni na mawakala wa vyama kukosa coppy.
Nakala hiyo muisambaze ili yakitokea hayo Tena watu wajue tu Nini kimetokea na mkishindwa mkose visingizio.
Kesho mkiwa mnatuhumu museme kabisa tume wanataarifa. Time ilishasema wenye malalamiko.