Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Tuna matatizo makubwa sana kama chama, hili lipo wazi kabisa.
Mpaka sasa uongozi ni kama haupo kabisa maana kila kitu kimekwenda mrama.
Mwenyekiti yupo jela kama mahabusu. Makamu mwenyekiti yupo Ubelgiji na inaonekana hana mpango wa kurudi bongo.
Sasa ni kama kuna ombwe la uongozi maana kama Chairman yupo ndani basi makamu alitakiwa awepo.
Vipi kuhusu mapato ya kidital yaliyokusanywa na tukachangia yapo salama?
Tusijikite juu ya suala la marehemu Hamza tukasahau masuala ya msingi ya chama chetu.