CHADEMA: Salamu za pole kwa wafanyabiashara soko la Karume

CHADEMA: Salamu za pole kwa wafanyabiashara soko la Karume

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
IMG_20220117_142620.jpg
 
Wafuasi wao humu mtandaoni si walikuwa wanashangilia? Watapiga U-turn?
 
Kupitia wamachinga a lesson of Katiba Mpya is learned through Hardway.

Kirahisi rahisi huwa hawaelewi. Ni kawaida ya binadamu.

Jambo baya mpaka limkute.
Mimi kwangu binafsi roho yangu kwatu kwa hao machinga maana wanadharau sana juhudi za wapinzani kudai katiba mpya na yenye manufaa kwa watanzania.
 
Wafuasi wao humu mtandaoni si walikuwa wanashangilia? Watapiga U-turn?
Jiwe aliwapoteza sana wamachinga kwa kuwadanganya kuwa hakuna mtu atawagusa au kuwahamisha kutoka mijini.

Sasa leo hii tatizo dogo linakuwa kubwa kisa Jiwe
 
Serikali kuweka miundo mbinu ndio wapiashe ili iljengwe soko amabalo halira ruhusu moto kutokea mara kwa mara.
 
Kuna Kiongozi aliwahi kuongoza dar, nahisi akibinywa anaweza kuisaidia polisi haya majanga ya moto.
 
Back
Top Bottom