masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
- Thread starter
- #21
Ndio hapo nawashangaa waTz ambao wako short sighted.Kilichoniuma zaid ety n platinum member 😔
Nikupe mfano, akitokea simba anakuja uelekeo wako, mara akapita kichaa anakimbia na anakwambia simba anakuja, au apite jamaa kavaa suti na anavuta mtemba, aka kwambia there are lions around here!
Kwa akili hiyo mtu utaanza kusifia tai ya jamaa, huku simba anakuvutia kasi.