CHADEMA sasa muelewe maana ya Demokkrasia kivitendo!

Kilichoniuma zaid ety n platinum member πŸ˜”
Ndio hapo nawashangaa waTz ambao wako short sighted.
Nikupe mfano, akitokea simba anakuja uelekeo wako, mara akapita kichaa anakimbia na anakwambia simba anakuja, au apite jamaa kavaa suti na anavuta mtemba, aka kwambia there are lions around here!
Kwa akili hiyo mtu utaanza kusifia tai ya jamaa, huku simba anakuvutia kasi.
 
Hapa kweli CHADEMA wamepigwa bull!
 
Hivi huyu ndio wa kulipwa dola laki 5 kweli huku wafia chama mkiachwa?

Uchawi upo wallah tena !
 
Msigwa yule CHADEMA pyuaaa kahamia CCM!
MTUKANE Msigwa, mlaani Msigwa, mwombee dua mbaya Msigwa , lakini naye kwa mazingira aliyokuwemo kaamua kutumia utashi na Demokrasia yake kuendeleza matakwa yake kivitendo.
CHADEMA mpo?
Kwani kina anayebisha hilo. Ila na wewe utumie deep inner faculties to think about this Msigwa, je kama angelishinda Uenyekiti wa Nyasa angelihama?
 
Ikiwa pesa haijatumika kumlainisha kwamba ni uamuzi binafsi,

Hapo ni sawa!!
 
Kwa nini asi geenda ACT angalau kuna usafi ukilinganisha na CCM chama cha mambuzi
 
Kwani kina anayebisha hilo. Ila na wewe utumie deep inner faculties to think about this Msigwa, je kama angelishinda Uenyekiti wa Nyasa angelihama?
Siasa zote sawa tu uwe chama chochote. Siasa kwa nchi hii ni tumbo lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…