Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Kwenye kitabu The prince cha Niccolo Machiaveli kuna sura nzima inazungumzia ubaya wa wanajeshi mamluki.
Anasema mamluki hawapigani kwa moyo hivyo ni rahisi kudhindwa ukiwa nao, anasema hawapigani majira ya baridi, hawapigani usiku, hawajihangaishi kujenga ulinzi kuzunguka kambi, na wala hawata kujichosha na kujihataridha.
Kina pia hata ukishinda hautakuwa salama sababu watataka kukupindua.
Mbaya zaidi, mamluki siyo washikamanifu. Muda wowote wanaweza kubadili loyalty.
Chama chenu kilianza kupoteza heshima mbele ya watu pale kilipoanza kuingiza mamluki na kuwapatia vyeo vikubwa kabisa.
Haya yalikuwa ni makosa makubwa sana.
Nafikiri kama mkiinuka(mkiweza) mtakuwa mmejifunza somo zuri sana juu ya mamluki.