CHADEMA sasa nafikiri mmejifunza kuhusu Mamluki

CHADEMA sasa nafikiri mmejifunza kuhusu Mamluki

Pamoja na umamluki wao haina maana kwamba Chama kiwakatae wanachama wapya, Chama liendelee kupokea wanachama kama kawaida.
 
Hawawezi kukataa mamluki kwa sababu mamluki wananguvu kuliko wao.
Unaanzaje sasa kumkataa EL kwa mfano, wakati wewe hauna hata appropriate candidate wa kumsimamisha.

CCM hakuna mwanasiasa mwenye nguvu, ni nguvu za dola tu zinazowabeba
 
Pamoja na umamluki wao haina maana kwamba Chama kiwakatae wanachama wapya, Chama liendelee kupokea wanachama kama kawaida.

Tatizo sio kupokea wanachama wapya, tatizo kuwapa nafasi za juu za uwongozi mara tu wanapojileta.
 
Back
Top Bottom