Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,663 May 1, 2021 #21 Pamoja na umamluki wao haina maana kwamba Chama kiwakatae wanachama wapya, Chama liendelee kupokea wanachama kama kawaida.
Pamoja na umamluki wao haina maana kwamba Chama kiwakatae wanachama wapya, Chama liendelee kupokea wanachama kama kawaida.
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 May 1, 2021 #22 nygax said: Hawawezi kukataa mamluki kwa sababu mamluki wananguvu kuliko wao. Unaanzaje sasa kumkataa EL kwa mfano, wakati wewe hauna hata appropriate candidate wa kumsimamisha. Click to expand... CCM hakuna mwanasiasa mwenye nguvu, ni nguvu za dola tu zinazowabeba
nygax said: Hawawezi kukataa mamluki kwa sababu mamluki wananguvu kuliko wao. Unaanzaje sasa kumkataa EL kwa mfano, wakati wewe hauna hata appropriate candidate wa kumsimamisha. Click to expand... CCM hakuna mwanasiasa mwenye nguvu, ni nguvu za dola tu zinazowabeba
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 May 1, 2021 #23 Alvin Slain said: Pamoja na umamluki wao haina maana kwamba Chama kiwakatae wanachama wapya, Chama liendelee kupokea wanachama kama kawaida. Click to expand... Tatizo sio kupokea wanachama wapya, tatizo kuwapa nafasi za juu za uwongozi mara tu wanapojileta.
Alvin Slain said: Pamoja na umamluki wao haina maana kwamba Chama kiwakatae wanachama wapya, Chama liendelee kupokea wanachama kama kawaida. Click to expand... Tatizo sio kupokea wanachama wapya, tatizo kuwapa nafasi za juu za uwongozi mara tu wanapojileta.