Pre GE2025 CHADEMA sasa ni chama rasmi mbadala wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

fasiliteta

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
2,372
Reaction score
4,090
Hiki Chama sasa kimebeba taswira ya nchi halisi ya waTZ,wale waliokua mashabiki wa mtu/watu kwa sasa wajue mtu hadumu ila systems/chama nzuri ikijengwa hudumu miaka na miaka.

Ni bora watu wahangaike kutengeneza mfumo utakao ishi siku zote.
Ile January 21 was really and true revolution ya democracy ya chama ktk nchi hii,provide watu wamejeruhiwa au La,legacy iliyoachwa itadumu na kujenga hoja ndefu ya kizazi hiki ktk Mustakabali ya democracy ya nchi hii na sasa;

HOJA YA UDINI,KWISHA

HOJA YA UKABILA/UKANDA KWISHA

HOJA YA SACCOS KWISHA.

HOJA YA UENYEKITI WA KUDUMU KWISHA.

kilichobaki ni kukiwasha tu kutokea pande zote za nchi,na hili ndo CCM Wana hofu nalo,maana chama cha upinzani kikiwa chenye sura/taswira ya chi nzima ni hatari sanaaaa ktk uhai wake ndani ya serialized ya kijani.

HONGERA TENA CHADEMA TZ,na sasa mnakidhi vigezo vyote vya kushika doll.

Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Ushindi wa Lissu umetoa hoja zote mfu za CCM.
Ni muda muafaka sasa wa kika mzalendo wa nchi hii kuipigania Tanganyika yake.
 
Hiki Chama sasa kimebeba taswira ya nchi halisi ya waTZ,wale waliokua mashabiki wa mtu/watu kwa sasa wajue mtu hadumu ila systems/chama nzuri ikijengwa hudumu miaka na miaka.
Ni bora watu wahangaike kutengeneza mfumo utakao ishi siku zote.
Ile January 21 was really and true revolution ya democracy ya chama ktk nchi hii,provide watu wamejeruhiwa au La,legacy iliyoachwa itadumu na kujenga hoja ndefu ya kizazi hiki ktk Mustakabali ya democracy ya nchi hii na sasa;

HOJA YA UDINI,KWISHA

HOJA YA UKABILA/UKANDA KWISHA

HOJA YA SACCOS KWISHA.

HOJA YA UENYEKITI WA KUDUMU KWISHA.

kilichobaki ni kukiwasha tu kutokea pande zote za nchi,na hili ndo CCM Wana hofu nalo,maana chama cha upinzani kikiwa chenye sura/taswira ya chi nzima ni hatari sanaaaa ktk uhai wake ndani ya serialized ya kijani.

HONGERA TENA CHADEMA TZ,na sasa mnakidhi vigezo vyote vya kushika doll.
Mbowe alipigwa vita sana, tena kwa sababu ya uchaga wake. Sasa ngoja tuone ni kipi kinaenda kubadilika. Mbowe aendelee na biashara zake wala asigombee hata ubunge.
 
Bado chawa hawajakubali, tumuache Mwenyekiti sasa aunde taasisi kama alivyoahidi! Yupo maabara bado anapika mambo tumpe muda tu, tofauti itaonekana dhahiri shahiri!
 
Back
Top Bottom