fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
Hiki Chama sasa kimebeba taswira ya nchi halisi ya waTZ,wale waliokua mashabiki wa mtu/watu kwa sasa wajue mtu hadumu ila systems/chama nzuri ikijengwa hudumu miaka na miaka.
Ni bora watu wahangaike kutengeneza mfumo utakao ishi siku zote.
Ile January 21 was really and true revolution ya democracy ya chama ktk nchi hii,provide watu wamejeruhiwa au La,legacy iliyoachwa itadumu na kujenga hoja ndefu ya kizazi hiki ktk Mustakabali ya democracy ya nchi hii na sasa;
HOJA YA UDINI,KWISHA
HOJA YA UKABILA/UKANDA KWISHA
HOJA YA SACCOS KWISHA.
HOJA YA UENYEKITI WA KUDUMU KWISHA.
kilichobaki ni kukiwasha tu kutokea pande zote za nchi,na hili ndo CCM Wana hofu nalo,maana chama cha upinzani kikiwa chenye sura/taswira ya chi nzima ni hatari sanaaaa ktk uhai wake ndani ya serialized ya kijani.
HONGERA TENA CHADEMA TZ,na sasa mnakidhi vigezo vyote vya kushika doll.
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025