CHADEMA sasa watumia mbinu za hayati Magufuli. Wawataka wanachama wao wamuombee Freeman Mbowe

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Binafsi ningeviomba vyombo husika viwaache wanachama wa CHADEMA waendelee kumuombea mpendwa wao ambaye ni mwenyekiti wa chama chao mh Freeman Mbowe aliyeko mahabusu ukonga.

Kwetu Wakristo kuombea wagonjwa na wafungwa ni sehemu ya ibada.

Nakumbuka hayati Magufuli tulikuwa tukimuombea.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Kumbe nyie ndo mlimuombea hadi yakamfika ya kumfika?
 
Matumizi mabaya ya maombi. Gaidi umuombee ili iweje?
 
Vile mwendakuzimu alivyofurahia kutokea huko kuzimu ulipomtaja katika uzi wako huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…