Atuwezi kuendelea na ujinga huo,nasi tulikua tunamshangaa mwenzetu badala ya kujenga hoja yeye ni matusi,Samoa mwizi,Samoa mjinga,Samoa mpuuzi ,Samoa mzanzibar ,Samoa kauza nchi nk.Maridhiano yalitaka kuwatoa kwenye reli ila kwa sasa naona mmerudi kwenye mstari wenu ulionyooka, tunaiona Chadema tuliyoizoea.
Hotuba ya jana imedhihirisha hilo, ni hotuba iliyojaa hofu iliyochanganyikana na hasira. Ametumia muda mwingi kuizungumzia Chadema kuliko kilichompeleka, ilionekana ajenda kuu ilikuwa Chadema.
Anasema anapenda kukosolewa wakati huo akiambiwa umekosea kuuza bandari anasema anatukanwa,, akiambiwa kauza Ngorongoro anasema matusi, akiambiwa tunataka katiba mpya anasema matusi.
Nafikiri lugha wanayoitumia Chadema kwa sasa ndio inayotakiwa kwa siasa za Tanzania.ya leo.
Tuachie Waziri wetu mkuu mtarajiwa
Hivi wazungu walikuwepo?Maana hao ndiyo kete yetu sisi.Honorable causa kinacho muuma zaidi ni kitendo Cha CDM kutofika katika mkutano, ukizingatia kulikuwa na wadau muhimu wa maendeleo,hivyo CDM walikuwa nguzo muhimu sana hasa katika taswira ya tasmini ya demokrasia nchini.
CHADEMA hawajawahi niangushaMaridhiano yalitaka kuwatoa kwenye reli ila kwa sasa naona mmerudi kwenye mstari wenu ulionyooka, tunaiona Chadema tuliyoizoea.
Hotuba ya jana imedhihirisha hilo, ni hotuba iliyojaa hofu iliyochanganyikana na hasira. Ametumia muda mwingi kuizungumzia Chadema kuliko kilichompeleka, ilionekana ajenda kuu ilikuwa Chadema.
Anasema anapenda kukosolewa wakati huo akiambiwa umekosea kuuza bandari anasema anatukanwa,, akiambiwa kauza Ngorongoro anasema matusi, akiambiwa tunataka katiba mpya anasema matusi.
Nafikiri lugha wanayoitumia Chadema kwa sasa ndio inayotakiwa kwa siasa za Tanzania.ya leo.
Kuna mjumbe mmoja alishawahi sema kuwa CCM haiwezi achia nchi Kwa makaratasibila nguvu ya jeshi kuitoa ccm ni ngumu.
Jeshi hili hili..?bila nguvu ya jeshi kuitoa ccm ni ngumu.