CHADEMA shikilieni hapo hapo nyoka ameanza kutoa kichwa.

CHADEMA shikilieni hapo hapo nyoka ameanza kutoa kichwa.

Alitaka mileage kupitia CHADEMA
Honorable causa kinacho muuma zaidi ni kitendo Cha CDM kutofika katika mkutano, ukizingatia kulikuwa na wadau muhimu wa maendeleo,hivyo CDM walikuwa nguzo muhimu sana hasa katika taswira ya tasmini ya demokrasia nchini.
 
Honorable causa kinacho muuma zaidi ni kitendo Cha CDM kutofika katika mkutano, ukizingatia kulikuwa na wadau muhimu wa maendeleo,hivyo CDM walikuwa nguzo muhimu sana hasa katika taswira ya tasmini ya demokrasia nchini.

Si rahic kuhutubia bila kusoma.
Ni kipaji kingine hicho… IQ kubwa inahitajika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ile hotuba Iliandaliwa mapema sana.
 
Kuna member humu JF ameandika hii
..lakini iko blocked kwenye computer mode.
Namnukuu!

"Mtwara wapo wananchi walirudisha kadi za CCM Rais Samia akamla kichwa DC na DED wake tena akiwa kachukia hasa.

Mara vitendo hivyo vikashika kadi, Tanga kijiji kizima kuanzia mwenyekiti hadi mama wa nyumbani. Tena mwenyekiti wa kijiji akafikia kutamka wazi kuwa Andazi na CCM yeye anachagua Andazi.

Mama huku akijitafakari na CCM yake muziki ukaangukia Ngorongoro. Mama ya kadi za CCM zikatupwa utadhani uchafu unaokera kisa Chadema kuwafumbua macho wamaasai juu ya utu na tamaduni zao kuenziwa.

Sasa sio siri tena Mama huyu kapanic na amejua kuwa yale yaliyokuwa yanaogopwa na watangulizi wake ya CCM KUWAFIA MIKONONI yanaenda kutimia kwake.

Hotuba ya jana kuivaa Chadema ilikuwa mbovu kuliko maelezo na imemtoa relini lakini sababu kuu ni wimbi la KUTUPA KADI."

Mwisho wa kumnukuu!
Kazi iendelee!
Hatupwi.
Kwa kifupi mama ametepeta mapema sana.
Pumzi imekata amebaki kutapatapa na maneno ya vijembe
 
Maridhiano yalitaka kuwatoa kwenye reli ila kwa sasa naona mmerudi kwenye mstari wenu ulionyooka, tunaiona Chadema tuliyoizoea.

Hotuba ya jana imedhihirisha hilo, ni hotuba iliyojaa hofu iliyochanganyikana na hasira. Ametumia muda mwingi kuizungumzia Chadema kuliko kilichompeleka, ilionekana ajenda kuu ilikuwa Chadema.

Anasema anapenda kukosolewa wakati huo akiambiwa umekosea kuuza bandari anasema anatukanwa,, akiambiwa kauza Ngorongoro anasema matusi, akiambiwa tunataka katiba mpya anasema mnamtukana.

Nafikiri lugha wanayoitumia Chadema kwa sasa ndio inayotakiwa kwa siasa za Tanzania.ya leo.
Alisema ameamua kukaa kimya ,siju kwa nini amepanua mdomo alioamua kuufunga
 
Back
Top Bottom