CHADEMA: Siasa za TAKUKURU zinalenga ‘kuokoteza’ makosa (fishing expedition), Uchunguzi wao hauna nia njema

CHADEMA: Siasa za TAKUKURU zinalenga ‘kuokoteza’ makosa (fishing expedition), Uchunguzi wao hauna nia njema

si dhani kama ni busara kwa chadema kupimana nguvu na taasisi nyeti yenye dhamana kubwa kama TAKUKURU,
kama kweli chadema ni safi hakuna ubadhirifu wowote toeni tu ushirikianao lkn mkianza maneno marefu kama vile mnaonewa italeta picha kuwa kuna jambo mnaficha hamtaki lijulikane, hii sio sawa kabisa kwa chama, chama kina paswa kijisafishe sio kubaki na tuhuma zisizo na majibu yoyote.
huwezi
 
Katibu mkuu mpaka leo hajui Takukuru wanachunguza nini!! 😂😂
 
Mnacho kiogopa ninini!!
Kama mpo wasafi shida nini
tatizo ni kuwa mmejificha kwenye Siasa Wakati wote ni wahuni na wachumia tumbo tu
na hampendi kukosolewa kwa lolote
Viongozi Wenu ni Miungu mtu
no kuhoji maamuzi au jambo lolote
kwahiyo mnataka kuchunguza mipango mikakati ya chadema,kunguni mko wengi

Sent from my itel A11 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mtu humu alitaka kujua CV za Mkurugenzi mkuu wa Takukuru hizi hapa;-Bachelor of Laws with honors (UDSM), Masters of law, Birmingham City University (UK) Masters in Security and Strategic Studies (NDC)Wakili mwandamizi mkuu wa Serikali,Advanced studies in Combat and military intelligence*
 
*CHADEMA ACHA KUWEWESEKA, TULIENI SINDANO IWAINGIE*

Meambiwa mkabidhi nyaraka zenu za Mapato na matumizi TAKUKURU mnaanza kuhoji elimu Ya *Mkurugenzi* mnasema anataka kuchukua siri zenu, toka lini matumizi ya hela za taasisi kama yenu ya kisiasa zikawa *siri* hapa mna kukimbia kama mlitumia hela za wabunge kufanya ufisadi imekula kwenu

Haya chukueni Hiyo *Mkurugenzi mkuu wa Takukuru ;-Bachelor of Laws with honors (UDSM), Masters of law, Birmingham City University (UK) Masters in Security and Strategic Studies (NDC)Wakili mwandamizi mkuu wa Serikali,Advanced studies in Combat and military intelligence*

Tulieni mkaguliwe, kama mmepiga hela mtapigwa tu, sheria ni msumeno msitafute *kichaka chakujificha*

Chadema wanafikiri tumefika uchumi wakati namna gani, nipamoja na kupambana na rushwa *TAKUKURU pigeni kazi*
 
Aibu sio kwao, ni kwa aliyewatuma. Wao walitekeleza wito
Aibu sio kwao tu bali zaidi ni kwa aliyewatuma
Wangeweza kurudi kwenye weledi na kuacha ujinga wa kutumwatumwa kama ndondocha.
Lakini wote katika umoja wao wa kishetani, wana nyuso za CHUMA ziso ubinadamu wala HAYA.
 
si dhani kama ni busara kwa chadema kupimana nguvu na taasisi nyeti yenye dhamana kubwa kama TAKUKURU,
kama kweli chadema ni safi hakuna ubadhirifu wowote toeni tu ushirikianao lkn mkianza maneno marefu kama vile mnaonewa italeta picha kuwa kuna jambo mnaficha hamtaki lijulikane, hii sio sawa kabisa kwa chama, chama kina paswa kijisafishe sio kubaki na tuhuma zisizo na majibu yoyote.
huwezi
Uoga kama wako ndio matatizo hapa kwetu.
Kama uko safi kusema ukweli ni haki yako hata wewe.
Achana na lugha za kina Ndugai ........eti wanapimana ubavu......
 
Haya chukueni Hiyo *Mkurugenzi mkuu wa Takukuru ;-Bachelor of Laws with honors (UDSM), Masters of law, Birmingham City University (UK) Masters in Security and Strategic Studies (NDC)Wakili mwandamizi mkuu wa Serikali,Advanced studies in Combat and military intelligence*
Unazidi kuthibitisha kuwa hivyo ni vyeti sasa hivi viko ukutani, ama sivyo vingeonekana kwenye utendaji.
 
Tumestusha sana na madai ya chadema kuwa Takukuru imeomba kupatiwa mikakati ya ndani ya chadema na mipango yao kuanzia mwaka 2014 mpaka sasa.Rai kwa msajili wa vyama vya siasa kuisajili Takukuru kama chama cha siasa tawi LA ccm.badala ya kukagua upotevu was 1.5 trillion alizoibua CAG wao wanataka mikakati ya ndani ya chadema

Sent from my itel A11 using JamiiForums mobile app
 
Tulieni mchunguzwe lazima zile bill 8 na ushee zijulikane zimeenda wapi kulialia Mitandaoni haisaidii kitu,mbona waoga hivi ikiwa hamuna shida
wewe ni gasho, hata kiswahili fasaha kinakushinda kuandika!.
 
Back
Top Bottom