bayonamperembi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 368
- 178
Katibu mkuu mpaka leo hajui Takukuru wanachunguza nini!! 😂😂si dhani kama ni busara kwa chadema kupimana nguvu na taasisi nyeti yenye dhamana kubwa kama TAKUKURU,
kama kweli chadema ni safi hakuna ubadhirifu wowote toeni tu ushirikianao lkn mkianza maneno marefu kama vile mnaonewa italeta picha kuwa kuna jambo mnaficha hamtaki lijulikane, hii sio sawa kabisa kwa chama, chama kina paswa kijisafishe sio kubaki na tuhuma zisizo na majibu yoyote.
huwezi
kwahiyo mnataka kuchunguza mipango mikakati ya chadema,kunguni mko wengiMnacho kiogopa ninini!!
Kama mpo wasafi shida nini
tatizo ni kuwa mmejificha kwenye Siasa Wakati wote ni wahuni na wachumia tumbo tu
na hampendi kukosolewa kwa lolote
Viongozi Wenu ni Miungu mtu
no kuhoji maamuzi au jambo lolote
Aibu sio kwao tu bali zaidi ni kwa aliyewatumaAibu sio kwao, ni kwa aliyewatuma. Wao walitekeleza wito
kangi lugora vipi ?Tulieni mchunguzwe lazima zile bill 8 na ushee zijulikane zimeenda wapi kulialia Mitandaoni haisaidii kitu,mbona waoga hivi ikiwa hamuna shida
Fungulia uzi wake utapata jibu mujarabMuulize Mnyika, zile video za kuvamiwa kwa Mbowe ameshaziweka hadharani?
Uoga kama wako ndio matatizo hapa kwetu.si dhani kama ni busara kwa chadema kupimana nguvu na taasisi nyeti yenye dhamana kubwa kama TAKUKURU,
kama kweli chadema ni safi hakuna ubadhirifu wowote toeni tu ushirikianao lkn mkianza maneno marefu kama vile mnaonewa italeta picha kuwa kuna jambo mnaficha hamtaki lijulikane, hii sio sawa kabisa kwa chama, chama kina paswa kijisafishe sio kubaki na tuhuma zisizo na majibu yoyote.
huwezi
Unazidi kuthibitisha kuwa hivyo ni vyeti sasa hivi viko ukutani, ama sivyo vingeonekana kwenye utendaji.Haya chukueni Hiyo *Mkurugenzi mkuu wa Takukuru ;-Bachelor of Laws with honors (UDSM), Masters of law, Birmingham City University (UK) Masters in Security and Strategic Studies (NDC)Wakili mwandamizi mkuu wa Serikali,Advanced studies in Combat and military intelligence*
Ndio kusema unafurahia mwenyekiti wenu kutafuna bil 8 za walipa kodi? Bia yetuNatangaza kuidharau kabisa TAKUKURU katika kipindi chote kifupi ambacho itaendelea kutumika na ccm
Fungua Uzi tuijadilikangi lugora vipi ?
We shall overcomeYes. Ni vita. Wanapigwa kila kona. CHADEMA be vigilant. You will emerge out triumphantly. Kinachosumbua ni Uchaguzi Mkuu ujao.
Pole sana usisahau kutujulisha wakishapata japo mfupa.Nini Lijualikali,yupo Mashinji kule.Ngoma bado mbichi.
wewe ni gasho, hata kiswahili fasaha kinakushinda kuandika!.Tulieni mchunguzwe lazima zile bill 8 na ushee zijulikane zimeenda wapi kulialia Mitandaoni haisaidii kitu,mbona waoga hivi ikiwa hamuna shida
unahitaji majibu au hatua zilizochukiliwa