Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Haya ni maono baada ya tarehe 21 ya siku ya uchaguzi. Ni tarehe 25 na kuendelea. Kipindi hiki tayari Mwenyekiti ameshafahamika, naye ni FAM.
Kwa kuwa huyu mwamba ni injinia wa siasa za bongo, hasa za upinzani, kwake yeye kinyongo sio tija.
Kamati kuu ya Halmashauri Kuu itakaa na kuitisha suluhu ya kitaifa ndani ya chama na kuganga majeraha yote yaliyojitokeza kipindi cha kampeni na uchaguzi. Kwa nafasi za umakamu sio ishu sana hapa. Ishu ni Uenyekiti.
Suluhu itaamua yafuatayo;
1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
2. Lissu atapewa jukumu la kuipeperusha bendera ya chama kuelekea uchaguzi mkuu October
3. Wale wabunge 19 watapewa tena nafasi ya kujirudi na kuwa sehemu ya chama
Wale wote waliokuwa wakisubiri chama kisambaratike watakuwa wamekula wa chuya. CCM iendelee kusikilizia maumivu baada ya jaribio lao kuu kushindwa.
Tutashuhudia chama kikiimarika sana kuelekea October. Sasa ya baada ya mwezi huo ni habari nyingine, ila tutashuhudia tena mlipuko wa amshaamsha bungeni, na Bunge litakuwa hai tena