Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Hiyo 89%umeitoa wapi mkuu?Namba 9 ndiyo muhimu sana, maana hadi jana ccm inaushindi wa 89%
Unampigia mbuzi gitaa1. Msifanye Kampeni ambapo hamna vibali
2. Zungumzieni Ilani mwanzo mwisho
3. Acheni na maneno ya kusikia, zungumzieni mnacho kiamini...
Ratibuni mafunzo ya mawakala na hakikisheni wanaelewa mtandao wote wa kutoa taarifa kutoka kituo kwenda kata na kwenda jimbo na taifa. Najua mnaelewa mtandao wenu wa taarifa za kutoka kila kituo kwenda mbele. Ikifanyika vizuri mtakuwa na matokeo 29/10 asubuhi mapema!Namba 9 ndiyo la maana, mengine ujinga tu.
Kwa sababu mbeleko zipo na no moja ya mbinu yenu ya kisayansi ya kupora ushindi Basi andaeni kifungo,Ila mjiandae kwa matokeo yake. Sisi tunaweka tu kumbukumbu kwa maandalizi ya Yale yatakayo jiri.Hawawezi kukuelewa hawa, chochote kinachotoka twetter wanakiamini na watakishadadia tu. Kifungo kingine kinakuja
Hili ni muhimu sana, asikudanganye mtu as long as husemin uongo!Lazima wamseme mgombea wa CCM na madhaifu yake ili kuwakumbusha wananchi kuwa wakimchagua tena huenda akaendeleza madhaifu hayo hayo yaliyowaumiza wananchi katika miaka hii mitano iliyopita
Mwanajukwaa mzalendo wa kweli Ana Mambo ya muhimu wapenda haki wote najua mtakuwa mmemwelewa.Tafadhali ujumbe huu ufike kwa mawakala wore was vyama vyote,hii ni kwa maslahi mapana ya taifa letu. Tanzania ni yetu sote. Tuzidi kukumbushana.Suala la mawakala ni muhimu. Jambo jingine ni hili la kukatika katika kwa umeme. Si jambo lililozoeleka kwa siku za hivi karibuni. Nahisi kama naandaliwa kisaikolojia ili nisishangae nchi itakapokuwa gizani jioni na usiku wote wa tarehe 28/10/2020. Tahadhari. Mawakala wote nchi nzima wapatiwe taa za solar au za kichina za betri. Na pia wazichunge maana kuna uwezekano mkubwa wa kuzikwapua. Kukiisha kuwa giza biashara ya kituo hicho kisicho na tahadhari hiyo kitakuwa Kimekwishilia mbali! Msiruhusu giza hata sekunde. One mistake one goal. Enzi zetu tulikuwa na maboksi yenye kura bandia, kinachofanyika ni *zima taa* badilisha box* washa taa. Mkija kwenye hesabu Mtakuta mmepewa kura utadhani wajumbe wamewapatia!
Niwakumbushe pia kwamba kutekana hakujaisha. Mawakala watatekwa, watanyang'anywa barua za utambulisho, n.k. isitokee wakala aliyempa, akapewa barua ya utambulisho eti yuko pekeyake mtaani, kaa vikundi, siku za kuvumilia si nyingi.
Kila la heri, Mwenyezi Mungu awatangulie!
Taarifa zaidi kwa ajili ya kumbukumbu pale zitakapo patikana tafadhali.
Utopolo tu, mnazo hizo kura za kuibiwa?. Chama cha Mbowe cha kipuuzi Sana, hamna mtanzania anataka hilo takataka hata kwa bure. Mnapoteza muda wenu bure kabisa, mgombea wenu ana level ya ubunge wa harakati sio kuwa Rais.