Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Nakuunga mkono kwa yote isipokuwa pointi namba 5
Lazima wamseme mgombea wa CCM na madhaifu yake ili kuwakumbusha wananchi kuwa wakimchagua tena huenda akaendeleza madhaifu hayo hayo yaliyowaumiza wananchi katika miaka hii mitano iliyopita
Kumfinyanga kiongozi unaeshindana nae ndio siasa inavyotaka. Wasiache.