Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Nakuunga mkono kwa yote isipokuwa pointi namba 5
Lazima wamseme mgombea wa CCM na madhaifu yake ili kuwakumbusha wananchi kuwa wakimchagua tena huenda akaendeleza madhaifu hayo hayo yaliyowaumiza wananchi katika miaka hii mitano iliyopita
Sasa inakuwaje mbeleko zote zimejipanga kuona jinsi gani ya kumzizibiti mtu asiyena madhara.Utopolo tu, mnazo hizo kura za kuibiwa?. Chama cha Mbowe cha kipuuzi Sana, hamna mtanzania anataka hilo takataka hata kwa bure. Mnapoteza muda wenu bure kabisa, mgombea wenu ana level ya ubunge wa harakati sio kuwa Rais.
Binti , twetter ni wapi hapa mjini ?Hawawezi kukuelewa hawa, chochote kinachotoka twetter wanakiamini na watakishadadia tu. Kifungo kingine kinakuja