LGE2024 CHADEMA Simiyu wachukua fomu, wasema "Safari hii hatutakimbia, watakimbia wenyewe"

LGE2024 CHADEMA Simiyu wachukua fomu, wasema "Safari hii hatutakimbia, watakimbia wenyewe"

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya, Martine Mogani, amesema kuwa mitaa yote na vijiji katika Wilaya hiyo, tayari wameweka wagombea na wote wameanza kuchukua fomu.
Kwa nini Chadema hawahimizi TAKUKURU iongeze kasi kufuatilia na kudhibiti vitendo vya rushwa na ufisadi kwa ujumla, hasa nyakati hizi za uchaguzi? Majibu ya swali hili yatatoa picha ya nini Chadema wanakusudia kufanya dhidi ya wananchi baadhi wenye nia nao
 
Pameanza kuchangamka chadema tupo wengi saana mwaka huu tunachoomba amani itawale CCM waache ujanja ujanja.
 
Back
Top Bottom