Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Mnadhania pesa alizochanga Sabodo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi haikuwa mali ya umma?
Mnadhania michango mliyokusanya kwa zaidi ya miaka 30 sio mali ya umma?
Kwa nini msitumie vyema mali ya umma? Kujenga ofisi ya kudumu ni dalili kuwa mna uwezo wa kusimamia rasilimali na mali za umma.
Miaka 30 mmepanga uswahilini huku mkitafuna na kula michango. Hii ni aibu.