CHADEMA someni maoni mitandao ya kijamii kwenye masuala yanayowahusu

MbantuOG

Member
Joined
Mar 7, 2021
Posts
49
Reaction score
33
Nazijua fika takwimu za mitandao ya kijamii na Twitter ndo inaongoza, ila kama tukiangalia engagement ya mambo yanayowahusu basi Twitter ni ya mwisho na kama inatija yeyote basi ni kuwajaza Kiburi na huenda mkapopoteza ushawishi wenu kabisa ndani ya miaka mitatu ijayo.

Ukienda kutazama post zenye matamko ya viongozi wenu katika media outlets kila mtu anawapinga na wengi wanadhani labda hamna nia njema na Taifa ili. Na sasa inaonekana dhairi mkiwa na mtu mstarabu basi mnaanza dharau (Bila kujali ni nini unamini, Tanzania si kama USA utakubali tu mwenywkiti, na mwalimu mkuu ni watu tunaowaogopa na tunaamini wanapaswa kuheshimiwa challenging the status quo sio utamaduni wa wabongo acheni kua idealistic (Mh. Mbowe should know this better than anyone)). Watanzania si watu kama wa mataifa mengine hamna idadi kubwa ya watu wanaotaka power reshuffle, na hawafwati trends za kisiasa za watu wa mataifa mengine.

Kama mnataka kupima ratings zenu vizuri basi tazameni watu wanasemaje. Mpo kwenye decline moja kubwa sana especially kwa online community (namnajua impacts zake rights).

Mwisho: Whoever leads strategy should resign and I doubt kama hata mna idara hii. You need a team to execute this na sio maadhimio ya chama, CCM does this subconsciously but nyie mpo scattered all over the place, politics at some time ni less quantitative, sawa mnaweza kua na active members but do they believe in the movement, how many traitors have you had?
 
Chadema ni sawa na mtu alie katika hatua za mwisho za kufa. Ni lazima atape tape kujaribu kuokoa nafsi (roho) yake, lkn mwisho wa yote anakufa. Nashauri mwaka 2025 chadema wasisimamishe mgombea kwa upande wa uraisi, maana raisi Samia anatutosha na kutufaa watanzania kwa miaka zaidi ya 10 ijayo.
 
Kuna mtu mmoja mwenye mamlaka yote nchini aliwahi kuahidi ataufuta upinzani (haswa chadema) kabla ya 2020. Still, he could not!!
 
Nazijua fika takwimu za mitandao ya kijamii na Twitter ndo inaongoza, ila kama tukiangalia engagement ya mambo yanayowahusu basi Twitter ni ya mwisho na kama inatija yeyote basi ni kuwajaza Kiburi na huenda mkapopoteza ushawishi wenu kabisa ndani ya miaka mitatu ijayo.

Ukienda kutazama post zenye matamko ya viongozi wenu katika media outlets kila mtu anawapinga na wengi wanadhani labda hamna nia njema na Taifa ili. Na sasa inaonekana dhairi mkiwa na mtu mstarabu basi mnaanza dharau (Bila kujali ni nini unamini, Tanzania si kama USA utakubali tu mwenywkiti, na mwalimu mkuu ni watu tunaowaogopa na tunaamini wanapaswa kuheshimiwa challenging the status quo sio utamaduni wa wabongo acheni kua idealistic (Mh. Mbowe should know this better than anyone)). Watanzania si watu kama wa mataifa mengine hamna idadi kubwa ya watu wanaotaka power reshuffle, na hawafwati trends za kisiasa za watu wa mataifa mengine.

Kama mnataka kupima ratings zenu vizuri basi tazameni watu wanasemaje. Mpo kwenye decline moja kubwa sana especially kwa online community (namnajua impacts zake rights).

Mwisho: Whoever leads strategy should resign and I doubt kama hata mna idara hii. You need a team to execute this na sio maadhimio ya chama, CCM does this subconsciously but nyie mpo scattered all over the place, politics at some time ni less quantitative, sawa mnaweza kua na active members but do they believe in the movement, how many traitors have you had?
Nakupinga vibaya sana ! kama ni ustaarabu Chadema imevuka kiwango cha uvumilivu , wametekwa , wameumizwa , wamepotezwa , wamefungwa , Wameuawa , tena wamefanyiwa yote haya wakitekeleza haki zao za kikatiba , na sidhani kama kuna Mtanzania anayefurahia katiba ya nchi kuvunjwa hata kama anayevunja ni Rais .

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
 
hayo yote mmefanyiana wenyewe kwa wenyewe unafikiri hatujui ujingaa mnafanyaga kila mtu akitaka uenyekiti halafu unaleta ushenzi wako wa kutaka huruma hapa mpumbafuuuu
 
Kwamba?

"CCM does this subconsciously but nyie mpo scattered all over the place, politics at some time ni less quantitative,"

Ghafla umeamua kujifagilia tena kwa nguvu? Kweli Nyani haoni kun*ule.

Hivi si kuwa kinachowabeba ni ustaarabu wa hawa wengine?

Standby. The end is near.
 
Utakuwa mgonjwa wa akili

Watu wajinga ccm inawatumia sana

Watu wajinga wanaponda Chadema bila sababu zozote

Kama ndivyo mwambie rais aruhusu mikutano tupime mahudhulio.

CCM wanategemea kudai katiba kistaarabu na kususiwa kwa chaguzi ambako hakutasaidia kuleta katiba mpya:

Nakupinga vibaya sana ! kama ni ustaarabu Chadema imevuka kiwango cha uvumilivu , wametekwa , wameumizwa , wamepotezwa , wamefungwa , Wameuawa , tena wamefanyiwa yote haya wakitekeleza haki zao za kikatiba , na sidhani kama kuna Mtanzania anayefurahia katiba ya nchi kuvunjwa hata kama anayevunja ni Rais .

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
Hayo yanaweza kua yametokea kweli basi unadhani watu wapo sympathetic kwa CHADEMA, The common man does not kama naloongea ni la uongo naomba ukapitie comments youtube,facebook and instagram. All I am advising is chadema waone they need to measure and track mbinu zao wanachofanya now it is not helping at all.
 
Kwamba?

"CCM does this subconsciously but nyie mpo scattered all over the place, politics at some time ni less quantitative,"

Ghafla umeamua kujifagilia tena kwa nguvu? Kweli Nyani haoni kun*ule.

Hivi si kuwa kinachowabeba ni ustaarabu wa hawa wengine?

Standby. The end is near.
Nimetoa ushauri tu CCM wameuza narrative mwendazake ndo the best president Africa has ever had in modern times.
 
Nazijua fika takwimu za mitandao ya kijamii na Twitter ndo inaongoza, ila kama tukiangalia engagement ya mambo yanayowahusu basi Twitter ni ya mwisho na kama inatija yeyote basi ni kuwajaza Kiburi na huenda mkapopoteza ushawishi wenu kabisa ndani ya miaka mitatu ijayo.

Ukienda kutazama post zenye matamko ya viongozi wenu katika media outlets kila mtu anawapinga na wengi wanadhani labda hamna nia njema na Taifa ili. Na sasa inaonekana dhairi mkiwa na mtu mstarabu basi mnaanza dharau (Bila kujali ni nini unamini, Tanzania si kama USA utakubali tu mwenywkiti, na mwalimu mkuu ni watu tunaowaogopa na tunaamini wanapaswa kuheshimiwa challenging the status quo sio utamaduni wa wabongo acheni kua idealistic (Mh. Mbowe should know this better than anyone)). Watanzania si watu kama wa mataifa mengine hamna idadi kubwa ya watu wanaotaka power reshuffle, na hawafwati trends za kisiasa za watu wa mataifa mengine.

Kama mnataka kupima ratings zenu vizuri basi tazameni watu wanasemaje. Mpo kwenye decline moja kubwa sana especially kwa online community (namnajua impacts zake rights).

Mwisho: Whoever leads strategy should resign and I doubt kama hata mna idara hii. You need a team to execute this na sio maadhimio ya chama, CCM does this subconsciously but nyie mpo scattered all over the place, politics at some time ni less quantitative, sawa mnaweza kua na active members but do they believe in the movement, how many traitors have you had?
Kwa bangi zao hawawezi kukuelewa- btw nia yao ni kuhalalisha uhisani kutoka nje
 
Nikujibu kiufupi tu!

Mitandao isingekuwa na nguvu (especially) Twitter ! Yule mtawala mshamba asingeiwekea "ban" tangu October

Tafakari hayo
Alichokifanya ni wasted energy: Alioverate sana courage ya wabongo.
 
Unaongelea hii SACCOS yenye MBUNGE mmoja bungeni ?!!

Hii SACCOS ya Mbowe ambayo ilibadiliki katiba yake kwa SHINIKIZO LA "MFALME" ili aendelee kutawala kinyume na "ILE MIAKA 10 YA AWALI"?!!!

MFALME yuko KITINI mwaka wa 17 huu.......🤣

#KaziIendelee
 
hayo yote mmefanyiana wenyewe kwa wenyewe unafikiri hatujui ujingaa mnafanyaga kila mtu akitaka uenyekiti halafu unaleta ushenzi wako wa kutaka huruma hapa mpumbafuuuu
Boya kweli mijitu ya chama Cha wizi wa kura
 
Chadema ..walitakiwa kufanya uchaguzi kwanza...

Bora Malisa ndo awe Mwenyekiti
Angalau anaweza Ku reason

Weeeeee mabosi wa FM hawawezi kukubali kama ambavyo mabosi wa ZZK wasivyoweza kukubali yeye kurudi CCM.....anataka sana kuachia kile kiti tatizo mabosi wake..alisign atakuwa wa maisha...na mabosi wake pekee ndio wanaojua what next kama ilivyokuwa kwa sheikh Maalim pale CUF na mwisho ukamkuta ACT hahahahahaha...
 
CDM ndio wenye akili kuliko watanzania woote na inapaswa watanzania woooote tuwasikilize wao maana watanzania wooote wana kadi za CDM na kila anayeipinga CCM na JPM basi ana kadi ya CDM (hahahahahaha)......
 
Back
Top Bottom