- Thread starter
- #41
Too delusionalMiaka mitano ijayo ccm haitakuwepo mitandaoni wala mitaani.
Kundi kubwa lililoajiriwa 2005 mpaka 2020 ni pro upinzani na ndiyo wengi watakuwa top executives kwenye mashirika mengi ya umma rasmi CHADEMA itakuwa sehemu ya system by default.
Mpaka kufika 2025 kizazi alichotengeneza Nyereree na Mzee Mwinyi hakitakuwa tena kwenye utumishi wa umma rasmi tutakuwa na kizazi kilichosukuma gari la Mrema mwaka 1995 kwenye top positions za utumishi.
ccm kwa kukosa ushawishi kwa wananchi rasmi itapoteza nguvu kwenye mfumo wa utumishi will likely fall.
2015 walihitaji bao la mkono kubaki ikulu.
2020 walihitaji bunduki, mapanga, na mabomu kubaki ikulu
2025 watahitaji nini meli iko hatarini kuzama
Washike wapi 2025 hata presidential candidate mwenye uwezo wa ushawishi hawana tena.