CHADEMA someni maoni mitandao ya kijamii kwenye masuala yanayowahusu

Too delusional
 
Hebu fanya hata tupicha tuone. MATAGA so mlisema mtandaoni sio chochote?
Io ya picha nisaidie wewe kiongozi, na mimi sio MATAGA. Nafwatilia digital trends and i just gave an honest opinion.
 
Io ya picha nisaidie wewe kiongozi, na mimi sio MATAGA. Nafwatilia digital trends and i just gave an honest opinion.
Kwa hiyo, hiyo digital inasemaje kuhusu chadema? Waachane na movements Za kudai Katiba mpya au?
 
Takwimu gani unaijua we mbuzi,,ety twitter ndo ya mwisho ,,do you actually know the impacts of social especially ya twitter inavyochukuliwa duniani ,,,,angalia trump anavyo haha marekani,,hicho kiburi unachodhani tunajazwa na mitandao,,we ndo umejazwa upumbafu na bibi yako,,we mean and believe what we are fighting for...yaani kama unaona sa hivi ndo chadema ipo kwenye decline wakati ndo tupo maturity stage ,we kakojoe tyu ulale ,,hi vita ya wanaume hutaiweza
 
Nilikua nawaza kama hivi mkuu, hongera na wewe kwa kuliadress hapa.
Viongozi wa CDM wanapaswa kutafakari vizur kauli zao hasa ktk wakati wa utawala wa Samia.
Trend wanayotaka kwenda nayo sasa hivi haiendani na aina ya siasa za Mama ambazo zinaonekana kuwavutia wengi wakiwemo wanachama wao pia.
 

Naona umeongea maneno mengi huku ukichanganya na kiingereza ili uonekane ni msomi. Hapa tunakuona kama mlevi tu. Huku jukwaani kuna maoni mengi sana hasi dhidi ya ccm, mbona hukuwahi kuwaasa kama Hivi huku ukichanganya na kiingereza uchwara?
 
Huwa mna confidence sana ila ikifika suala la tume huru mnakua wakali sana. Weird
Mbowe, Lisu na Zito wameshinda chaguzi ngapi bila hiyo tume huru? Mmeshindwa kusimamia misingi yenu ya chama baada ya mwenyekiti kukabizi chama kwa mapandikizi ya CCM mwaka 2015, mapandikizi yakakichana chana chama na kupelekea kushindwa vibaya katika uchaguzi mkuu wa 2020. Sasa leo badala ya kudili na alieleta mapandikizi chamani, nyie mna dili na tume iliyokuwa inawatangaza kina Mbowe, Lisu na Zito kuwa washindi katika chaguzi mbali mbali.
 
Kwa hiyo, hiyo digital inasemaje kuhusu chadema? Waachane na movements Za kudai Katiba mpya au?
Wapime kama kweli itwapa nafasi ya kusikilizwa na kutiliwa manani na watu? Nadhani jibu rahisi ni hapana, na pia naamini wamepitia magumu mengi sana wanashindwa kuona picha katika kila pembe. Wanachokifanya sasa ni kupoteza dira.
 
Chama cha siasa kikishindwa uchaguzi mara 3 kinageuka kuwa cha kigaidi..

Ndiko hii saccos chadema inakoelekea
 
Naona umeongea maneno mengi huku ukichanganya na kiingereza ili uonekane ni msomi. Hapa tunakuona kama mlevi tu. Huku jukwaani kuna maoni mengi sana hasi dhidi ya ccm, mbona hukuwahi kuwaasa kama Hivi huku ukichanganya na kiingereza uchwara?
Ngoja niandike kiswahili bahati mbaya kuchanganya kiingereza na nangwa tu: Utakubaliana na mimi CHADEMA ni chama ambacho kinavutia wasomi wengi kuliko chama chochote, na pia kwa kawaida tu msomi mtanzania kiswahili kakiacha la saba. Basi kwa kuwa ushauri wangu niliulekeza CHADEMA, niliona huenda kuandika "hoja muhimu" na baadhi ya maneno machache kwa kiingereza nitavutia watu wa CHADEMA kusoma.

Kwanza sio Mh Lissu "aliyewadiss" "majudge" na watu wa mabalozi kwa kutokujua Lugha na je? simulizi za hasafiri sababu hajui lugha zilizotoka upande gani?
 
Na umeniuzia shombo kweli! Bongo si Marekani dada angu.
 
Good analysis mzee, kheri kama umeona pia.
 
Chama cha siasa kikishindwa uchaguzi mara 3 kinageuka kuwa cha kigaidi..

Ndiko hii saccos chadema inakoelekea
Hadi kwenye biashara hii ipogo tunaita laana ya kizazi cha tatu. Nawapa mbinu free of charge wanaanza kunitukana.
 

Lisu aliwasema majaji kwakuwa lugha ya kingereza ni lazima kwao kiofisi. Hapa jukwaani ww unamkoga nani? Hiyo kuwa hasafiri kwakuwa hajui kiingereza ni taarifa rasmi kutoka chama gani? Acha kuokota maneno ya vijiweni na kufanya ni mitazamo rasmi ya taasisi, matokeo yake unaishia kuonekana limbukeni.
 
UPUUZI MTUPU!!!

 
Wanapigania kuinyamazisha Chadema au hata ife kabisa kwani imekuwa ni tishio kubwa sana kwa maccm. Umewasikia wakisema chochote kuhusu Ayatollah Zitto na chama chake cha ACT WASALITI Oooops! ACT Wazalendo? Jibu unalijua Mkuu.

Hivi nyinyi huwa mnapigania nini ? ikiwa kama hamtaki chadema idai haki
 
Kuna mtu mmoja mwenye mamlaka yote nchini aliwahi kuahidi ataufuta upinzani (haswa chadema) kabla ya 2020. Still, he could not!!
Ukweli ni kwamba watu huwa wanapigia kura vyama vya upinzani kutokana na kuchoshwa tu na matendo ya Rais anaekuwa madarakani.

Na siyo kwamba vyama vya upinzani ni bora kuliko CCM.

CCM ingeweza kuanguka kirahisi kama mpaka leo kungekuwa na Rais yule yule hasa angekuwa kama Magu.

Hii mbinu ya kubadili marais kila baada ya miaja 10 ina tabia ya kujenga matumaini mapya kwa watu na hivyo CCM kuendelea kuwepo.

Na kibaya zaidi vyama vya upinzani vimekuwa ni mihemko, matukio, ubinafsi na agenda za ajabu ajabu.
 
Kama mnataka kupima ratings zenu vizuri basi tazameni watu wanasemaje. Mpo kwenye decline moja kubwa sana especially kwa online community (namnajua impacts zake rights).
Umeandika utopolo halafu ukajaribu kutia tia na kidhungu (siyo kizungu) ili kupaka rangi ujinga ulioandika.

Wewenani nani hadi uwashauri chadema ujinga kama huu??

Chadema ni mpango wa Mungu. Kila aliyesem chadema inakufa wamekufa wao ama kisiasa au wamekufa wao kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…