Lissu endelea hivyo hivyo nimeona wafanyabiashara wamerelax na kujisikia huru zaidi pale Kariakoo. Kero zao zimesikika vizuri sana na wameonesha utulivu mkubwa Lissu alipokuwa anaongea nao. Nimegundua kuwa watanzania wa kada mbalimbali wanakosa viongozi wa kuwasikiliza.
Sasa basi CHADEMA endeleeni kuwa sauti ya Umma, mkijua kuwa watu wanawasikiliza na kuwategemea kuleta mabadiliko.
CHADEMA songeni mbele kwa namna hii taratibu mnaziba ombwe la uongozi lililopo Tanzania.