Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Issakwisa Thobiasi Lupembe amedai wakati wa mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana Novemba 27, 2024 kulikuwa na matukio ya vitisho kwa Wanachama na viongozi wa Chama hicho kutoka kwa baadhi ya Watu.
=====================
Taarifa ya awali ya Jeshi la Polisi Mkoani Songwe kuhusu matukio wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024.
Songwe: Mwenyekiti CCM achomwa kisu cha utosi, Polisi yawakamata Viongozi wawili CHADEMA