LGE2024 CHADEMA Songwe: Green Guard walienda na mapanga kwenye Vituo vya Kupigia Kura kutisha Wanachama wetu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Your browser is not able to display this video.

Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Issakwisa Thobiasi Lupembe amedai wakati wa mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana Novemba 27, 2024 kulikuwa na matukio ya vitisho kwa Wanachama na viongozi wa Chama hicho kutoka kwa baadhi ya Watu.


=====================​

Taarifa ya awali ya Jeshi la Polisi Mkoani Songwe kuhusu matukio wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024.

Songwe: Mwenyekiti CCM achomwa kisu cha utosi, Polisi yawakamata Viongozi wawili CHADEMA
 
ivi ninabi atatusaidia kuipata haki❓😥kwann tunaishi kwamfumo huu,, 😥
 
ilipofikia Ukiona anakuja kivita usitie huruma kufa naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…