Pemba kimekuwaje ngosha? Yaani hizi media za TZ ni janga la kitaifaHiiiii bagosha. Kwanza kumradhi kushindwa kusomana kwenye yale 'mabusatu'.
Wamesema biashara, tusiwasemee. Acha wakatae wenyewe. Au tuone hiyo jitihada ya kufunga.
Mbona Pemba kimeshaeleweka?
Hapo naunga mkono hoja. Waongee na k24 ili warushwe hewani, najua za TZ itakuwafitina tu!Naunga mkono hoja hata ikowa ya Kenya tutachangia ili mradi iwe kwenye vingamuzi vya ndani..
Mfano Citizen, Ktn hata k24
Vya ndani vinasimamiwa na TCRA uki link local linker anakuwa responsible kwa lolote baya wanaruhusiwa ku link na chombo chochote Cha nje ila kukitokea ukiukwaji local linker ndiye atawajibikaNaunga mkono hoja hata ikiwa TV ya Kenya tutachangia ili mradi iwe kwenye vingamuzi vya ndani..
Mfano Citizen, Ktn hata k24
Another rubbish for the trashcan.2015 Chadema hawakushinda hayo majiji sahabu ya social media sio kweli
Sababu kuu zilikuwa mbili
1.Hayo majiji ndio yenye walutheri wengi .Lowasa mgombea Uraisi Ni Mlutheri alisema Ni zamu ya walutheri ndio ukaona majiji yenye walutheri wengi ya Dar es salaam,Iringa mjini,Mbeya,Arusha,Moshi na manyara yakienda Chadema
2.Ukabila majiji ambayo Chadema ilishika Kuna wachaga wengi na wamasai wa kabila ya Lowasa .Ukabila ukitumiwa Sana
Ukienda kote Iringa mini ako wengi,dar es salaam wako wengi,Arusha wako wengi,Moshi wako wengi na Manyara
Hizi factor mbili ndizo zilikuwa kigezo kikubwa Cha 2015
Kwa Sasa hizo factor hazina nguvu Tena Baada ya Chadema kuweka mgombea Lisu mkatoliki na mnyaturu asiyetoka kabila kubwa la kaskazini ambako Chadema ndio Ina nguvu hivyo kutokubalika kwa wachaga na Masai
Slaa alikubalika na ukatoliki wake sababu mkewe Ni Mlutheri
Chadema interested win ulutheri Kama ingemsimamisha Nyalandu kugombea sababu Ni Mlutheri
Lisu hakubaliki kwenye ukatoliki pamoja na kuwa Ni mkatoliki hewa kwa sababu alibadli jina la ubatizo.Kwa kawaida mkatoliki akibatizwa hupewa jina la mtakatifu mfano Raisi magufuli alipobatizwa alipewa jina la mtakatifu John ndio maana anaitwa John
Lisu alibadili na kulikana jina la mtakatifu alilobatizwa nalo na kujiita Tundu.Kudharau jina la mtakatifu na kujipa jina la kujitungia Ni dharau kubwa kwa mtakatifu husika kuwa unaona jina lake Ni takataka
Ndio maana viongozi kanisa Katoliki wako mbali naye sababu ya hizo dharau kwa mtakatifu anayeheshimiwa na kanisa
Hivyo hakubaliki kwa wakatoliki na kwa walutheri hakubaliki na kwa wachaga na Masai hakubaliki ndio maana hata mikutano yake inadoda
Pemba kimekuwaje ngosha? Yaani hizi media za TZ ni janga la kitaifa
Tupa kuleeee....Sijui tafiti zenu mnafanyiaga wapi. Tanzania ina wapiga kura 28,000,000. Wanaoshinda kwenye social media ni wangapi? Tuangalie mfano wa jana Kawe.
View attachment 1552744
Mitandao mingine nayo inaonyesha hali halisi pia.
View attachment 1552753Huwezi linganisha na live ya CCM siku hiyo hiyo ambapo bar zote mijini, majumbani mijini na vijijini, vyombo vya usafiri watu walikua wanafuatilia uzinduzi wa Kampeni. TBC pamoja na kuwa ilikuwa inafanya sensorship, mkutano wa Chadema Mbagala ulionwa nchi nzima sababu watu walikuwa na hamu ya kumsikia Lissu anakuja na sera gani. Chadema hawakutumia nafasi hiyo ya kuwa wa kwanza kuzindua kutangaza ilani. Wanetumia leo hii kila wanachoongea CCM tungewachana kuwa wanaiga ilani ya Chadema tuliyoanza kuisikia. Kwenye mechi hakuna goli tamu kama goli la kuongoza!
Watumie hata za uganda kenya zambia congo Nchi jirani zote zenye utu na hata cnn sky news BBC nkPopote mlipo, huu Ni ushauri wangu kwenu, mikutano yenu haiwezi kutegemea matangazo ya gari za matangazo na social media, katika pesa mliyonayo, ongeeni na ITV/ AZAM wawe wanarusha matangazo na ratiba za kampeni zenu. Ikishindikana kwa hizo media, basi boresheni CHADEMA TV iwe active LIVE 24 HRS. Iwe inatoa ratiba za kampeni zenu na kutangaza ilani 24hrs.
Sasa hivi mpo field, mjue Kuna kundi la watanzania huhitaji muda mwindi kushawishika na sera za chama. Lakini pia, CHADEMA inazihitaji media kuliko media zinavyowahitaji, ongeeni na TBC, kaeni meza moja kwani tayari Kuna bajeti kutoka tume ya uchaguzi kwenda TBC kurusha matangazo ya kampeni za UCHAGUZI mwaka huu.
Najua baada ya kuelewana, hawatarudia kukatakata matangazo, lakini pia Ni UKWELI TBC wanaogopa maneno ya kejeli kwa mwajiri wao, just be humble, waambieni mmeanza kueleza ilani yenu, wote tumeisikia wale tunaotumia bando lakini nyumbani kwetu Msalala hawajui hata Jana mlikuwa wapi
Ushauri wa mwisho: Huu si muda wa kutembea wote na mgombea mwenza, sambaeni kila Kona kila mtu kivyake, HERICOPTER ZENU zizunguke maana ndiyo mbadala wa wasanii kwenu. Mageuzi Ni Kazi ngumu, nyie Ni mashihidi. Unamweleza mtu mkiingia madalakani mtawalipa madeni waliotumbuliwa bila kujali stahiki zao, lakini huyo unayemtetea anakuhoji, utatoa wapi hela? Hawa watu wanaitaji ushawishi na elimu ya kila siku ndani ya hii miezi 2.
Nawatakia asubuhi njema, ngoja nikatafute buku ya kula na wanangu. Saivi Hakuna weekend kwa watanzania, maisha Ni magumu
CCM hawataki ushindani wa wazi kwenye jukwaani na uchaguzi huru na haki kwa sababu wanajua watanzania wenye Akili timamu hawaitaki CCM ni mazezeta pekee wamesalia CCM kwenye ushetani wa kutishaTupa kuleeee....
Kwanini misukule ya lumumba inaogopa uchaguzi?
TBC inaendeshwa kwa kodi za watanzania wote iweje TBC iwe chombo binafsi cha CCM hii mbaya iliyojaa roho mbaya? Sasa inaitwa TBCCCM siyo TV sahihi kwa usitawi wa demokrasia NchiniCDM Hamjui nguvu ya TV.Nilikuwa na hamu ya kumsikia sera zenu na nilihamasika na TBC kuonyesha live lakini maamuzi tena yamefanyika kumbe hamna bajeti ya TV mbadala.kwa sisi ambao hatujalipia ving'amuzi tunaipata TBC.
Ila lile jukwaa ni dhahiri kwamba mnaukata wa fedha.
Kilichowazi na ccm wanajua ni kwamba kwanza hawakushinda Zanzibar wala bara 2015 ndio maana ya rais kutangaza vita dhidi ya upinzani alipoingia tu madarakani. Chaguzi za madiwani na wabunge walionunua wote mnakumbuka ilikuwaje. Watz wanajua nn kilitokea December mwaka jana uchaguzi serikali za mitaa.....CCM hawataki ushindani wa wazi kwenye jukwaani na uchaguzi huru na haki kwa sababu wanajua watanzania wenye Akili timamu hawaitaki CCM ni mazezeta pekee wamesalia CCM kwenye ushetani wa kutisha
Kwa hiyo unampongeza anayetumia raslimali za wananchi kuendesha chama!Watu ambao wameshindwa kukiendesha chama hata kwa kua na online TV yenye vifaa vizur vya kisasa wanataka tuwape dhamana ya kuongoza nchi kweli jaman
Naona leo umevuta ile ya Njombe maana ulichokiandika ni matokeo ya cha NjombeWengi wanakuja kwa upole kuishauri chadema kuhusu mwenendo wao kuelekea kwenye Uchaguzi, ingawaje wanaandika kwa uangalifu na umakini mkubwa ili kuhakikisha hawaonekani kwamba wamekata tamaa na kuizamisha meli ya chadema, ukweli ni kwamba hali ni mbaya mno, kelele na nyodo zote zilizokuwepo mpaka siku Tundu Lisu anamshikaki Raisi Magufuli zimeyeyuka zote, chadema hali ni mbaya sana kuliko inavyoonekana, ...
Ukiona hivyo ujue tayari ni maji ya shingoMataga mbona mnahaha wakati mmejenga mafly over na kununua madege ya cash????