Uchaguzi 2020 CHADEMA, tafuteni television station itakayorusha kampeni zenu mubashara

Hahaha wanapumulia mashine Tundu Lissu alitegemea atawatisha watanzania kuwa jumuiya za kimataifa zinatumulika kila kona, akasahau kwamba TANZANIA ni sovereign, hata Amsterdam hataweza kuingia hadi jikoni.Tunasubiri kuona nyomi ya Sumbawanga,Katavi geita, simiyu Shinyanga Mwanza na bukoba, songea Mtwara na Lindi.Mikoa hii michache asikose kwenda ili tumpime kukubalika kwake.Asipokwenda atakuwa mbabaishaji.
 
MATAGA mmepoteana vibaya mno [emoji23]
 
Huwa ni wabishi sana!

Mpka damu ziwatoke masikioni kama kenge ndio wanasikia
 
Yani watu wameona bora wakajazane mpirani tena kwa kulipia kuliko kupoteza muda kumsikiliza huyu kibaraka wa amstersam
 
Mataga mbona mnahaha wakati mmejenga mafly over na kununua madege ya cash????
Pua lenu linazidi kuinama tu,
Nikuulize kitu siku ile tundu lisu anamuwekea pingamizi magufuli kisha akawaita kuwapa taarifa, wewe nae ulikuwa unashangilia au hukuwap pale?

Je aliwaonyesha copy za magufuli alipokesea au mlikuwa mnmshangilia kwa kukosa maarifa?
Ufipa mjitafakali
 
Mataga mbona mmepanic 🀣🀣
 

Sio tuu hali ni mbaya sana kwa Chadema, wanachama na washabiki walio wengi wameharibikiwa kiasi wamechanganyikiwa na kupoteza muelekeo. Uthibitisho wa hili ni tarehe 29th October-2020. Wanatengeneza mazingira ili waukatae uchaguzi na matokeo.
 
Unajishusha viwango kwa hoja aina hii.

Ishauri Chadema watokee mlango upi maana kwenye kujenga hoja na kutangaza sera zao wameishia kwenye risasi16
Wala hata sina kiwango.

Hebu mataga tulieni dawa iwaingie 🀣🀣🀣
 
Mataga mbona mmepanic 🀣🀣

Tuonyesheni picha za juu tuone mlivyopiga nyomi, na kama mnaogopa mtumieni dada yenu Mange arushe tutaona.
Hii ndio sababu ya kuwafukuza TBC, wasionyeshe picha za anga.
Toka waondoke hatuoni picha za drone.
 
Tuonyesheni picha za juu tuone mlivyopiga nyomi, na kama mnaogopa mtumieni dada yenu Mange arushe tutaona.
Hii ndio sababu ya kuwafukuza TBC, wasionyeshe picha za anga.
Toka waondoke hatuoni picha za drone.
Nyomi au sera??

Malori kubeba watu.
Wasanii 200 wa bongofleva
Barua za vitisho kwa wafanyakazi wa umma kuwalazimisha kuhudhuria mikutano ya CCM.
 
Barbarosa(Makonda)🀣🀣


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Nyomi au sera??

Malori kubeba watu.
Wasanii 200 wa bongofleva
Barua za vitisho kwa wafanyakazi wa umma kuwalazimisha kuhudhuria mikutano ya CCM.
Kwani tundu lisu anakuaja na sera ya kutengeneza submarine hapa?
Au tuataanza kutengeneza ndege?
Hayo mengine yapo na yanaboreshwa tu,
Yeye alisema magufuri sio wa kwanza kujenga mabaranara na mabwawa, sasa yeye anakuja na kipi ambacho hakijawahi kufanywa hapa tanznia?
 
Mimi ni mkazi wa segerea na mpiga kura na segerea na segerea yetu tunaijua wana segera msituwekee maneo mdomoni madiwani na mbunge wa segera na kura za uraisi kwa taarfa yako ni chadema uliza watu kumi kama sio wote wanaunga mkono chadema basi tisa au nane na sio chini ya hapo na leo ndio watu wamemwelewa mueshimiwa lissu kuliko unavyo dhani
 
Umesema kweli kiongozi. Chadema wamegeuka omba omba wanatembeza bakuli. Ruzuku yote katia kwapani Mbowe. Walitegemea fedha za mabeberu sasa zimewekewa kufuli. Wataisoma namba sawasawa mwaka huu. Si muda mrefu wataanza kupigana viboko wao kwa wao.
 
Mataga mmeishiwa hoja sasa mnakuja na viroja!😁😁😁
 
Tupa kuleeee....
Kwanini misukule ya lumumba inaogopa uchaguzi?
Wanaogopa au wamewapiga bao? Wameanza kutoa Ilani yao na sasa kila hoja yenu wana mamlaka ya kusema: Tumetekeleza na tutaendeleza utekelezaji mkitupatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…